Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika

Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika

Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika, ila nawasii ndugu zangu tuchepuke lakini tuhakikishe wake zetu na watoto wako, wako kwenye mazingira mazuri. Mfano, mfanyie yafuatayo mkeo:-
  • Mpe biashara amiliki
  • Mjengee nyumba ya gorofa kama uwezo unao
  • Mnunulie usafiri mkubwa, kuanzia cc4000
Ukifanya hayo yote lazima mkeo ataendelea kukuheshimu hata kama atagundua unachepuka; tofauti na hapo ni kukaribisha umasikini juu ya umasikini.
Unamnunulia mkeo gari analiwa na fundi gerej kisa kamsaidia kumbadilishia spear tairi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika, ila nawasii ndugu zangu tuchepuke lakini tuhakikishe wake zetu na watoto wako, wako kwenye mazingira mazuri. Mfano, mfanyie yafuatayo mkeo:-
  • Mpe biashara amiliki
  • Mjengee nyumba ya gorofa kama uwezo unao
  • Mnunulie usafiri mkubwa, kuanzia cc4000
Ukifanya hayo yote lazima mkeo ataendelea kukuheshimu hata kama atagundua unachepuka; tofauti na hapo ni kukaribisha umasikini juu ya umasikini.
wanawake akili zenu mnavowazaga....eti ghorofa kisa heshima..😎
 
Umbembeleze yeye hajui majukumu yake? Mambo kama hayo ya kusubiri mwanamme aseme "nataka kupea utawezana" ndio yanayosabisha watu waende nje.
Hakuna kitu kinachukiza km mtu anajua wajibu wake alafu anasubiri kukumbushwa ni upuuzi uliopitiliza
 
Marahaba Ankoo,kwema?
Ukiyabeba majukumu ya kifamilia kama baba halisi (namaanisha mwanaume) kuchepuka ni ngumu sana maana hata kwa mke ndani performance ina shuka sana.
Kuna muda hata kamoja kanagoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajidanganya bure labda hauna nguvu ww, yaani ugonge kwa mchepuko ushindwe kugonga ndani haliyakuwa huyo wa ndani mwenyewe anataka kugongwa jnne na alhamisi tuu tena goli moja kwa siku
 
Back
Top Bottom