Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
ha ha ha jembe kazi yake ni kulima mkuu
ha ha ha ha kwa nini mkuu?Kuchepuka kwa mwanamke ni Kitu kisichozuilika pia!
Leta wazo mkuu,tujifunzeHizi mambo za ku generalize huwa nazipinga sana hapa JF.
Wazo langu ni kuwa sio wanaume wote wanachepuka.Leta wazo mkuu,tujifunze
Mfano,Kama unapewa mara moja kwa wiki unafanyaje mkuu?kwanini uchepuke?
Mfano,unapewa mara moja kwa wiki na wewe bado nguvu asilia unazo,utafanyaje?Wazo langu ni kuwa sio wanaume wote wanachepuka.
Apo kweri umejitutumuaMfano,Kama unapewa mara moja kwa wiki unafanyaje mkuu?
Mbembeleze aweze kukupa mara utakazo.Mfano,unapewa mara moja kwa wiki na wewe bado nguvu asilia unazo,utafanyaje?
Wengine wakishakuwa wazazi huwa wanachangamoto zao mkuuMbembeleze aweze kukupa mara utakazo.
Kwa nini mkuu?Ila jaribu,,,kisha utuletee feedback kitakacho kupata
Hebu waambieHizi mambo za ku generalize huwa nazipinga sana hapa JF.