The Most Winner
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 733
- 960
Kweli mkuu,upungufu wa nguvu za kiume ukiwepo lazima ndoa itulie...na atakayekuwa anachepuka sana sana ni mkeMkuu hayo ni Matatizo yako tu sio Kila mtu hupo hivyo ukishindwa wengine tunaweza usi generalize sema wewe ndo uwezi kustahimili bila mchepuko haya ikitokea ukazaa so ndo chanzo cha Matatizo hapo.
nn chanzo cha watoto wa mitaani?,Magonjwa HIV/AIDS? ukipata wakati wa kuchepuka?, na jitaidi ufahamu kuwa Ndoa sahihi ni Maisha ya Kiroho na sio Maisha ya Kimwili
Welcome pujo. Useme machache.
Mbona nguvu zinakiwepo tu sema hujui Ndoa ni nn ndo maana ukijua ndoa ni nn? Basi utaelewa nilichokwambia tofauti na hapo huwezi kuelewa.Kweli mkuu,upungufu wa nguvu za kiume ukiwepo lazima ndoa itulie...na atakayekuwa anachepuka sana sana ni mke
Katika dunia hii ni asilimia ngapi ya watu hawachepuki?Mbona nguvu zinakiwepo tu sema hujui Ndoa ni nn ndo maana ukijua ndoa ni nn? Basi utaelewa nilichokwambia tofauti na hapo huwezi kuelewa.
Shida tamaa zinawasumbua sana ndugu hurishiki na mke wako unajua madhara ya mchepuko? Huleta impact hadi Kwa watoto na familia nzima.
Wellcome pujo
Khe yamekuwa haya?Kuchepuka kwa mwanamke ni Kitu kisichozuilika pia!
Unanikosha kwa maneno yako. Usemacho ni kweli, tamaa zinawasumbua.Mkuu hayo ni Matatizo yako tu sio Kila mtu yupo hivyo ukishindwa wengine tunaweza usi generalize sema wewe ndo uwezi kustahimili bila mchepuko haya ikitokea ukazaa so ndo chanzo cha Matatizo hapo.
nn chanzo cha watoto wa mitaani?,Magonjwa HIV/AIDS? ukipata wakati wa kuchepuka?, na jitaidi ufahamu kuwa Ndoa sahihi ni Maisha ya Kiroho na sio Maisha ya Kimwili
Welcome pujo. Useme machache.
Sehemu nyingine unapewa kwa kipimoKhe ndio mnaleta mabalaa majumbani kwenu, Kuna mwanasheria wa wilaya x huko aliwekwa karantini na familia yake yote sababu tu kimada wake alikutwa na corona.... Ikabidi kimada aulizwe alikutana na nani katika mizunguko yake si akataja kalala na mwanasheria wa wilaya.... Ikabidi jamaa awekwe karantini na familia... Nilimuonea huruma mke wake maskini upuuzi wa mumewe ukampeleka yeye karantini..... Mtulie wanaume hayo mashimo hayana tofautiiiiiii eeeeeeh
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha yenye tija kama yapi mkuu?nadhan ujiongelee tu mwenyewe, wengine akili zao znawaza mambo mengine yenye tija zaidi
Ndivyo ilivyo mkuuWewe wasemaaa,.
Huyu jamaa anaferi sana.Unanikosha kwa maneno yako. Usemacho ni kweli, tamaa zinawasumbua.
The Most Winner
Chepuka ule mema ya dunia
Ahahah hiyo tabia sio nzuri baki njia kuu tu mkuu. Mkeo mpaka umemuoa basi ulimpenda. Ss kwnn uchepuke?Chepuka ule mema ya dunia