Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika


Ndio mnavyojidanganyaga kuwa hayana tofauti🤣🤣🤣🤣
 
Ni kujiendekeza na kuiendekeza nafsi.

Kila jambo tuliloumbiwa ni mtihani aidha tufeli ama tufaulu! Na moja ya kitu kikubwa ni nafsi, hakuna jihadi kubwa kama kushindana na nafsi, naimani mwenye kuishinda nafsi yake, atakuwa kaiweza dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…