sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Andiko linasema alicheza mbele za BWANA..Kenge nyie Daudi hakucheza hekaluni, alicheza kwenye event ya kushangilia ushindi wa vita.
Nini maana yake?Andiko linasema alicheza mbele za BWANA..
Sasa kati ya hekalu na BWANA mkuu ni nani?
Na ndivyo ilivyo agizwa na Mungu, sisi ndio tukajifanya wajuaji wa haki sawa, sasa haya ndio matokeo yake!Sijui kwanini wanawake wanapenda kujidhalilisha , mwanamke wakati wote anatakiwa awe Ander control
Na ndivyo ilivyo agizwa na Mungu, sisi ndio tukajifanya wajuaji wa haki sawa, sasa haya ndio matokeo yake!
Mwanzo 3:16
1 Timo theo 12-14
Usihamishe mada hakuna msikiti utakaocheza ndombolo na mauno ..Nimejisikia vibaya sana mkuu
Turudi kwenye dini zetu za asili, haya makanisa sijui misikiti tumepigwaaa!
Kucheza tutakavyo ni ruhusa, Ruhusa hii tumepewa kwa kanisa kubariki tukio la Mfalme Daudi alipocheza mpaka nguo zikamdondoka.
Tuwe huru,
Ukichukia mapendekezo haya labda uwe msabato, hakuna kucheza ni kusimama tu
View attachment 2825215
View attachment 2825211
Walokole ni vichaa
Dini yako ya asili inaitwaje??Nimejisikia vibaya sana mkuu
Turudi kwenye dini zetu za asili, haya makanisa sijui misikiti tumepigwaaa!