kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Wazungu wana bahari kubwa kuliko waafrika, na mchanga wa bahari uko kwenye fukwe na ndani ya maji Bahraini. Swali ni kwanini wazungu waje kuchimba mchanga huo TANZANIA? Je, huu mchanga wanaotaka kuchimba kwetu haupatikani kwenye nchi nyingine Africa, Asia, ulaya au marekani ila Kigamboni tu?
Ndugu zangu kuchimba mchanga kwenye fukwe za bahari kunasababisha makubwa yafuatayo:
1. Kunatanua ukubwa wa bahari kuelekea nchi kavu. Inafahamika kuwa theluthi mbili (2/3) ya dunia yote imefunikwa na Maji, na 1/3 tu ndio nchi kavu, hivyo kuchimba mchanga kwenye fukwe kunazidi kuipunguza nchi kavu. Wazungu wanaifunika bahari (reclamation) sisi tunaifunua bahari.
2. Kuharibu fukwe za kupunzikia watu wetu siku zijazo: fukwe nzuri zilizoendelezwa zinazalisha pesa, ajira na furaha kuliko pesa na hasara tutakayopata kwa kuzibomoa kuchimba mchanga kama madini.
3. Ecology kuharibika: mimea na viumbe vitauawa na Kuhamia sehemu nyingine ya dunia.
4. Kugeuzwa wajinga: Wazungu wanahifadhi kwao kuvutie na kuharibu fukwe zetu.
5. Mafuriko: tunakaribisha mafuriko mabaya sana kwa watu wetu.
Jamani na mimi naungana na wale wote wenye wasiwasi na uwekezaji wa aina hii, tufikirie mbali sana wakati tons and tons tans and tons tons And tons Za mchanga huo utakapoondolewa kwenye fukwe hiyo itakuwa Je? Tuache umangungo katika zama hizi za mwanga. Ni heri tubaki maskini kuliko uwekezaji wa aina hii.