Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Sasa ukifungia then uwapi watu wako mbinu za kufungua yafaa nini,si bora wachukue tu Ili wapate nguvu ya kutupa misaada.Ukifungua wahuni wanapiga tu
Mchina kajenga reli ya tazara bure baada ya kuipata ramani ya malikale USA ya Mjerumani sehemu alizoficha mali akala mali hadi Zambia,USA kustukia dili nae akaja na wazo la kujenga bomba la mafuta TAZAMA mwambao kwa reli ya Tazara akala mali nae hadi imewatokea mapigano sehemu za Mbeya kugombea mali Kati ya kina nio na wazungu enzi za ujenzi wa miradi hio kuna sehemu reli na bomba linakutana.
Serikali si iwaruhusu Wajerumani waje wazichukue mali zao walizoacha enzi za vita vya pili vya dunia tugawane nusu kwa nusu.Maana hazina tija zimekaa tu ardhini na hatuna mbinu za kuzitoa.