Kuchimba mchanga wa bahari kama madini kunaleta wasiwasi wa kimazingira

Ukisikia mkataba wa Siri jua tumeliwa.Yaani Mzungu atoke aje achimbe mchanga wa kujengea afrika? Hata ukimuona mgeni analima ana mashamba analima vijijini kwa jicho la tatu alimi anachomaanisha,kilimo ni njia rahisi ya kuficha lengo kusudio Siri anayo mlimaji.
Mzungu atoke ulaya aje kulima nyanya,sijui vitunguu bongo halafu yupo porini.
kweli kabisa usemacho........
 
Wazungu wana bahari kubwa kuliko waafrika, na mchanga wa bahari uko kwenye fukwe na ndani ya maji Bahraini. Swali ni kwanini wazungu waje kuchimba mchanga huo TANZANIA? Je, huu mchanga wanaotaka kuchimba kwetu haupatikani kwenye nchi nyingine Africa, Asia, ulaya au marekani ila Kigamboni tu?

Ndugu zangu kuchimba mchanga kwenye fukwe za bahari kunasababisha makubwa yafuatayo:
1. Kunatanua ukubwa wa bahari kuelekea nchi kavu. Inafahamika kuwa theluthi mbili (2/3) ya dunia yote imefunikwa na Maji, na 1/3 tu ndio nchi kavu, hivyo kuchimba mchanga kwenye fukwe kunazidi kuipunguza nchi kavu. Wazungu wanaifunika bahari (reclamation) sisi tunaifunua bahari.

2. Kuharibu fukwe za kupunzikia watu wetu siku zijazo: fukwe nzuri zilizoendelezwa zinazalisha pesa, ajira na furaha kuliko pesa na hasara tutakayopata kwa kuzibomoa kuchimba mchanga kama madini.

3. Ecology kuharibika: mimea na viumbe vitauawa na Kuhamia sehemu nyingine ya dunia.

4. Kugeuzwa wajinga: Wazungu wanahifadhi kwao kuvutie na kuharibu fukwe zetu.

5. Mafuriko: tunakaribisha mafuriko mabaya sana kwa watu wetu.

Jamani na mimi naungana na wale wote wenye wasiwasi na uwekezaji wa aina hii, tufikirie mbali sana wakati tons and tons tans and tons tons And tons Za mchanga huo utakapoondolewa kwenye fukwe hiyo itakuwa Je? Tuache umangungo katika zama hizi za mwanga. Ni heri tubaki maskini kuliko uwekezaji wa aina hii.
Huo siyo mchanga kama mnavyoambiwa, huo mchanga wa pwani yetu una madini ya Titanium
 
Wazungu wana bahari kubwa kuliko waafrika, na mchanga wa bahari uko kwenye fukwe na ndani ya maji Bahraini. Swali ni kwanini wazungu waje kuchimba mchanga huo TANZANIA? Je, huu mchanga wanaotaka kuchimba kwetu haupatikani kwenye nchi nyingine Africa, Asia, ulaya au marekani ila Kigamboni tu?

Ndugu zangu kuchimba mchanga kwenye fukwe za bahari kunasababisha makubwa yafuatayo:
1. Kunatanua ukubwa wa bahari kuelekea nchi kavu. Inafahamika kuwa theluthi mbili (2/3) ya dunia yote imefunikwa na Maji, na 1/3 tu ndio nchi kavu, hivyo kuchimba mchanga kwenye fukwe kunazidi kuipunguza nchi kavu. Wazungu wanaifunika bahari (reclamation) sisi tunaifunua bahari.

12. Kuharibu fukwe za kupunzikia watu wetu siku zijazo: fukwe nzuri zilizoendelezwa zinazalisha pesa, ajira na furaha kuliko pesa na hasara tutakayopata kwa kuzibomoa kuchimba mchanga kama madini.

3. Ecology kuharibika: mimea na viumbe vitauawa na Kuhamia sehemu nyingine ya dunia.

4. Kugeuzwa wajinga: Wazungu wanahifadhi kwao kuvutie na kuharibu fukwe zetu.

5. Mafuriko: tunakaribisha mafuriko mabaya sana kwa watu wetu.

Jamani na mimi naungana na wale wote wenye wasiwasi na uwekezaji wa aina hii, tufikirie mbali sana wakati tons and tons tans and tons tons And tons Za mchanga huo utakapoondolewa kwenye fukwe hiyo itakuwa Je? Tuache umangungo katika zama hizi za mwanga. Ni heri tubaki maskini kuliko uwekezaji wa aina hii.
Chief Hang'her
 
nakumbuka niliusona uzi moja wa P.Mayala hapa ndani alisema hivi.lengo la mero maxince japo nitalikosea jina lake kidogo ilikuwa ni kwa ajili ya great thinkers kubadilishana ideas.lkn kwa sasa jf imegeuka kuwa uwanja wa wapuuzi wachache kuleta hoja za kipuuzi.si lazima kila kitu kinachoandikwa humu ndani watu wachangie.vingine unasoma na kupita kama wafanyavyo wengine kuliko kuchosha watu kusoma upuuzi.
Tumbo lako likijaa basi inatosha? Think globally and act locally. Unaona ni sawa wazungu kuzichimba fukwe zetu ili watupe pesa? Hutaki kujua baada ya miaka 60 ya kuzifukua fukwe zetu kutatokea nini kwenye nchi yako. Nani katuroga? Hufai sio tu kwa nchi yetu Bali hata kwa Familia yako.
 
Back
Top Bottom