Kuchimba mchanga wa bahari kama madini kunaleta wasiwasi wa kimazingira

Ukifungua wahuni wanapiga tu
Sasa ukifungia then uwapi watu wako mbinu za kufungua yafaa nini,si bora wachukue tu Ili wapate nguvu ya kutupa misaada.
Mchina kajenga reli ya tazara bure baada ya kuipata ramani ya malikale USA ya Mjerumani sehemu alizoficha mali akala mali hadi Zambia,USA kustukia dili nae akaja na wazo la kujenga bomba la mafuta TAZAMA mwambao kwa reli ya Tazara akala mali nae hadi imewatokea mapigano sehemu za Mbeya kugombea mali Kati ya kina nio na wazungu enzi za ujenzi wa miradi hio kuna sehemu reli na bomba linakutana.
Serikali si iwaruhusu Wajerumani waje wazichukue mali zao walizoacha enzi za vita vya pili vya dunia tugawane nusu kwa nusu.Maana hazina tija zimekaa tu ardhini na hatuna mbinu za kuzitoa.
 
Ndo ume. sema nini Sasa? . Shida yetu Tanzania a ni mitaala yetu ya shule kukosa somo la critical thinking,na professional thinking. Hayo madini hapo baharini Yana uhusiano mkubwa sana na maisha ya viumbe majini na ulinzi wa nchi kavu dhidi ya Maji ya bahari. Ukiyaondoa hapo yalipo maisha ya viumbe hayatabaki kama yalivyo Sasa. Lakini baya zaidi ni kuongeza speed ya Maji ya bahari kuimeza nchi kavu,huo mchanga na miamba ndio kinachoyazuia maji yasije nchi kavu kwa speed. Hii ndio maana mungu na asili imeyaweka madini hayo hapo yalipo. Ni ujinga ku justify kuyachimba eti kwakuwa ulaya hayapo. Weak reasoning. Kuyaondoa hapo ni sawa na kuyatengenezea njia Maji yaje nchi kavu kwa urahisi. Tuache ujinga,wazee wetu walituachia nchi hii ikiwa safi kabisa. Umangungo wa viongozi wetu utaiharibu nchi.
 
Baharini kuna madini mengi Sana kuliko nchi kavu, tungepata viongozi wanaofikiri,tungeingiza technology tuyachimbe yawafae wananchi.
Ni aibu sana miaka 60 ya UHURU umri wa kustaafu eti hadi sasa watz wanaishi kwenye vijumba vya nyasi na udongo karne hii,Ina maana hata tu kugeuza udongo tu kuwa tofali, vigae hatuwezi?
Shame Sana kwa serikali ya ccm.
 
Wanakuja kuchimba mchanga au wanachimba dhahabu, kumbuka baharini dhahabu imejaa tele imepelekwa na maji toka mitoni
We umetufumbua macho mkuu, wenye nchi wanajua , wanakula wenyewe , ila watanzania tunapigwa,
" Chama kina wenyewe",
 
Uwazi kwenye mikataba ndio changamoto, mikataba haijadiliwi na wawakilishi wetu bungeni( ata kama hatujawachagua).

Hapo hatujui tunanufaika vipi na mkataba ni wa muda gani
 
We umetufumbua macho mkuu, wenye nchi wanajua , wanakula wenyewe , ila watanzania tunapigwa,
" Chama kina wenyewe",
Ukisikia mkataba wa Siri jua tumeliwa.Yaani Mzungu atoke aje achimbe mchanga wa kujengea afrika? Hata ukimuona mgeni analima ana mashamba analima vijijini kwa jicho la tatu alimi anachomaanisha,kilimo ni njia rahisi ya kuficha lengo kusudio Siri anayo mlimaji.
Mzungu atoke ulaya aje kulima nyanya,sijui vitunguu bongo halafu yupo porini.
 
Mkuu fact yako iko vizuri kwenye upanda wako wa ecologia... ila kumbuka tukisema tuangalie hoja ya mazingira! je tusifanye economic development..kwa kuhofia issue za environmental impact. make kila project ina kuwa na impact kubwa kwenye issue zima ya environment.
Ni lazima tuangalie potential benefits, kwanza then ndo tuangalie ecologia

Mfano mdgo kwani unapo ishi wewe ahuja- interrupt ecologia ya hapo, kwa kujenga na kwa kufanya- movement mbalimbali.

The big deals ni kuandaa good policy and memorandum of understanding kwa wanchi..
 
Naunga mkono hoja, uchambuz wa kitaalam kabisa huu
 
Mkuu unahamu na environmental impact?
 
Mleta mada madini yatakayochimbwa Kigamboni ni NIKEL inayotumika kutengeneza betri sio mchanga wa bahari. Samia alitoa mfano mchanga wa bahari kwamba anasikia ni madini.
 
import technology, tengeneza bidhaa ziwafaidishe wananchi, zikiwa nyingi wauzie wazungu kama wanashida nazo, hivi tutaendelea kuwa watumwa wa akili mpaka lini, this is the best solution.

bahati mbaya watu wenye akili kama zako niwachache sana tz yetu hii, na bahati mbaya viongozi waliopo walishaidharau teknolojia, si ajabu kumkuta waziri hajui hata kutumia simu vizuri au pc, sasa mtu kama huyo ukimpa maono ya kuwa tunaweza kuchimba wenyewe na kutengeneza viwanda vya kuzitumia raslimali hizo atakuona mchonganishi
 
REKEBISHA
1.PRECIOUS
2.NON -PRECIOUS
3.GEMSTONE
4.METALLIC

hyo sandstone imo kwenye kundi la non _precious
 
Zama hizi sio Za kulia lia tena ukipata fursa piga tu.
 
Unapoona kasoro ya kila marais wetu sikuelewi. Gombea Pengine uwe wewe rais sahihi
 
Mleta mada madini yatakayochimbwa Kigamboni ni NIKEL inayotumika kutengeneza betri sio mchanga wa bahari. Samia alitoa mfano mchanga wa bahari kwamba anasikia ni madini.
Wacha utani,
Mleta mada madini yatakayochimbwa Kigamboni ni NIKEL inayotumika kutengeneza betri sio mchanga wa bahari. Samia alitoa mfano mchanga wa bahari kwamba anasikia ni madin
 
ukiwa na njaa utauza kila kitu, sasa mchanga wa bahari ndiyo upi? na nasikia mchanga huu hauchimbwi kwenye fukwe kama wengi mnavyodhani hapana, ni km kadhaa toka fukwe.

Hii project ina usiri usiri na ndiyo maana diwani akawaambia wananchi waugomee hadi waambiwe manufaa ni yapi ili waupokee katika maeneo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…