Kuchimba mchanga wa bahari kama madini kunaleta wasiwasi wa kimazingira

Atakuona unamchelewesha, shida yetu viongozi wa nataka pesa za Leo Leo kabla hajamaliza awamu
 
Unapoona kasoro ya kila marais wetu sikuelewi. Gombea Pengine uwe wewe rais sahihi
Marais wetu hawana kasoro? Miaka 60 watu hawana Maji, Wana nyumba za nyasi na miti, wanalima na kajembe ka mkono.
 
Kigamboni watu wanaitamani sana iwe yao,nadhan kuna siri kubwa iliyofichika.
 
We kiroboto,Kati ya wazungu na wewe nani ana uhitaji mkubwa wa pesa?
 
Wa
Wakoloni waliacha mali nyingi maporini wakati wanaondoka,wanafahamu sehemu nyingi zenge mali maana walikaa muda mrefu sana hapa
 
Mkuu umefafanua vizuri, isipokua ni lazima katika maendeleo yoyote uzingatie pia maendeleo endelevu ambayo kimsingi yanahusisha matumizi bora ya rasilimali kwa faida ya vizazi vilivyopo na vijavyo.

Ni muhimu sana waafrika tujitahidi kutunza urithi wetu bila kuwa wachoyo na wabinafsi.

Bila kuzingatia sera zilizo bora kwa maendeleo endelevu. Tutabakiwa na magofu na mashimo makubwa yasiyo na faida wala manufaa.
 
Sawa lakini sio kwa kubomoa kingo za bahari, this one is too much.
 
Nchi za ulaya na marekani ziko zenye madini mengi, mafuta mengi na misitu mingi, lakini hawazivuni hizo rasilimali zao kwa kujali hatima ya mazingira yao na maisha yao kama watachimba madini au kuchimba mafuta yao Sasa. Mazingira na maisha ni muhimu kuliko pesa.
 
mchanga una asili ya kurudi maji yakijaa.
Waanza lini hyo kazi tukaombe ajira.
 
Wa

Wakoloni waliacha mali nyingi maporini wakati wanaondoka,wanafahamu sehemu nyingi zenge mali maana walikaa muda mrefu sana hapa
Tena wazikuta bwerere zimejaa hazina mwenyewe,
 
 
nakumbuka niliusona uzi moja wa P.Mayala hapa ndani alisema hivi.lengo la mero maxince japo nitalikosea jina lake kidogo ilikuwa ni kwa ajili ya great thinkers kubadilishana ideas.lkn kwa sasa jf imegeuka kuwa uwanja wa wapuuzi wachache kuleta hoja za kipuuzi.si lazima kila kitu kinachoandikwa humu ndani watu wachangie.vingine unasoma na kupita kama wafanyavyo wengine kuliko kuchosha watu kusoma upuuzi.
 
Allah atunusuru na majanga ya ardhi yake endapo tutafanya kwa tamaa za kutaka pesa viongozi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…