Kuchimba mchanga wa bahari kama madini kunaleta wasiwasi wa kimazingira

kweli kabisa usemacho........
 
Huo siyo mchanga kama mnavyoambiwa, huo mchanga wa pwani yetu una madini ya Titanium
 
Chief Hang'her
 
Tumbo lako likijaa basi inatosha? Think globally and act locally. Unaona ni sawa wazungu kuzichimba fukwe zetu ili watupe pesa? Hutaki kujua baada ya miaka 60 ya kuzifukua fukwe zetu kutatokea nini kwenye nchi yako. Nani katuroga? Hufai sio tu kwa nchi yetu Bali hata kwa Familia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…