FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Wakati niko Safarini tokea Dar kulelekea kijijini kwenye msiba wa babu yangu, njiani kwenye njia ya kutokea Chemba kupitia kijiji kinaitwa Mtungutu, Pembezoni mwa barabara nilikuta gari la polisi likiwa na askari kadhaa, na upande mwingine wa barabara nikaona wanakijiji wengi wamekusanyika kwa huzuni, sikutaka kusimama kujua zaidi, nikakamua mashine kuendelea na safari.
Sasa wakati wa kujengea nyumba ya babu nikaanza kusikia wale mafundi wakipiga story kwamba kuna binti wa mchungaji Mtungutu amechinjwa na aliyekuwa mume/ mpenzi baada ya fumanizi, na wameacha katoto kadogo, na jamaa kakimbia, anatafutwa. Hivyo nikaconnect dots ya lile tukio la gari ya polisi na mkusanyiko wa watu, na wakaniambia ndio tukio hilo.
Kuna mwenye nyama za kuongezea juu ya sakata hili?