Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 1,194 Reaction score 911 Oct 29, 2026 #1 TUSIRUHUSU TOFAUTI ZETU ZITEKETEZE KILE TUNACHOPASWA KUKILINDA KWA PAMOJA. Oktoba 29 iwe kumbukumbu inayotufundisha, si alama ya uharibifu tunayojivunia, Tanzania ni yetu sote, tusiiache hasira ya siku moja iharibu matumaini ya miaka mingi. #Tumechaguaamani #Haturudiitena #Tanzanianiyetusote #Tanzaniakwanza Your browser is not able to display this video.
TUSIRUHUSU TOFAUTI ZETU ZITEKETEZE KILE TUNACHOPASWA KUKILINDA KWA PAMOJA. Oktoba 29 iwe kumbukumbu inayotufundisha, si alama ya uharibifu tunayojivunia, Tanzania ni yetu sote, tusiiache hasira ya siku moja iharibu matumaini ya miaka mingi. #Tumechaguaamani #Haturudiitena #Tanzanianiyetusote #Tanzaniakwanza Your browser is not able to display this video.
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,912 Reaction score 46,240 Oct 29, 2026 #2 Rais iliapishiwa kwenye kambi ya jeshi sababu ya hii siku
M Mcharo son JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 6,363 Reaction score 5,354 Oct 30, 2026 #4 Umechagua Tanzania kwanza, ni kabla ya Mo29 au baada ya kuapishwa sa100>? Ushauri wa Polepole kwa nn umetupwa na yeye kumpoteza>? Huu ni uzandiki
Umechagua Tanzania kwanza, ni kabla ya Mo29 au baada ya kuapishwa sa100>? Ushauri wa Polepole kwa nn umetupwa na yeye kumpoteza>? Huu ni uzandiki