Kuchomekea T-shirt ni ushamba?

Kuchomekea T-shirt ni ushamba?

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Screenshot_20201107-123231_1.jpg

Baadhi wanasema kuchomekea T-shirt sio sawa lakini mimi nafanya hivyo mara kwa mara na sioni kama ni tatzo.

Wadau wa mitindo, je ni sawa kufanya hivyo au ni ushamba?
 
Hivi,zile jezi za kuchezea mpira wa miguu huwa zina tisheti?Hawachomekei?Vipi kuhusu wacheza golf?Huwa naona wanachomekea tisheti zao.
NB:Mkinisumbua tu,nachomekea na suruali kwenye soksi miguuni kabisa.
Wapo wengi wanachomekea t shirt na wanapendeza, ila ukijaribu kuchomekea suruali kwenye soksi watakuita mnyasa
 
Siuzi vyombo lakini navaa hivyo Sometimes, Ila sio mara zote
Kuchomekea iwe shati au tisheti ni mazoea ya tangu awali kwa muhusika.Kuna wengine wameanza hadi kuvaa suti na raba.Nao tusemeje?

Kuna wanaovaa suti za mikono mifupi(wanaume). Hao nao inakaaje? Kuna wanaovaa mashati na tai halafu wanakunja mikono ya mashati. Hao nao ni akina nani?

Kuna wanaovaa suti na tai maridadi halafu wanavaa kapelo.Imekaaje hiyo?
 
Kuchomekea iwe shati au tisheti ni mazoea ya tangu awali kwa muhusika.Kuna wengine wameanza hadi kuvaa suti na raba.Nao tusemeje?Kuna wanaovaa suti za mikono mifupi(wanaume).Hao nao inakaaje?Kuna wanaovaa mashati na tai halafu wanakunja mikono ya mashati.Hao nao ni akina nani?Kuna wanaovaa suti na tai maridadi halafu wanavaa kapelo.Imekaaje hiyo?
Kweli katika swala la mavazi kila mtu ana style yake, japo nyingine zinashangaza lakini ni maamuzi yao wahusika
 
Back
Top Bottom