Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Nitakipata wapi na beiVyema sana Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakipata wapi na beiVyema sana Mkuu
Mkuu kwenye maduka ya viatu officials yapo maeneo ya Sinza.Nitakipata wapi na bei
Baadhi wanasema kuchomekea T-shirt sio sawa lakini mimi nafanya hivyo mara kwa mara na sioni kama ni tatzo.
Wadau wa mitindo, je ni sawa kufanya hivyo au ni ushamba?
Kama nguo wameanza kuvaa wazungu kabla yetu sasa kwanini tusiige style za kuvaa kutoka kwaoKuna watu kazi kuiga wazungu tu, na sikuhizi kuna kastyle flani hivi watu wa maofisini zaidi, mtu anakuvia kisuruali kifupi na kimemmbana kweli kweli 😄
Kati ya wazungu na waarabu wakwapi wameanza kuvaa nguo na kujistiri? Bila kusahau ustaarabuKama nguo wameanza kuvaa wazungu kabla yetu sasa kwanini tusiige style za kuvaa kutoka kwao
Wote hao walianza kuvaa kabla yetu, sasa kwanini tusiige mavazi kutoka kwao? Au tuendelee kuvaa magome ya miti na ngozi?Kati ya wazungu na waarabu wakwapi wameanza kuvaa nguo na kujistiri? Bila kusahau ustaarabu
Hakuna complication zaidi ya kubadilishana mitazamo tuacheni komplikation kuna vitu havina formula au mass opinion
"It's time you know if the polo is tuckable or not. The normal polo tshirt with a uniform back and front can be worn both ways. While if your polo tshirt is longer at the back and short at the front it is meant to be tucked. Always tuck in a polo tshirt that has a non-uniform length."
Baadhi wanasema kuchomekea T-shirt sio sawa lakini mimi nafanya hivyo mara kwa mara na sioni kama ni tatzo.
Wadau wa mitindo, je ni sawa kufanya hivyo au ni ushamba?
Nimekuelewa mkuu, nazifahamu t- shirt ambazo nyuma zina urefu tofauti na mbele, lakini sikuwa najua maana yake."It's time you know if the polo is tuckable or not. The normal polo tshirt with a uniform back and front can be worn both ways. While if your polo tshirt is longer at the back and short at the front it is meant to be tucked. Always tuck in a polo tshirt that has a non-uniform length."
Kama lugha inapanda utakuwa umeelewa hiyo nukuu hapo juu. Ila kama hujaelewa ni kwamba kuna Tshirt unazotakiwa kuchomekea na usizotakiwa kuchomekea kulingana na namna zilivyo. Asante.
Ushamba (ignorance) ni kutokujua jambo linafanyikaje kwa usahihi au matumizi. Sasa hapo kwenye kuchomekea Tshirt ni yapi ambayo hayajulikani yajulikane
Baadhi wanasema kuchomekea T-shirt sio sawa lakini mimi nafanya hivyo mara kwa mara na sioni kama ni tatzo.
Wadau wa mitindo, je ni sawa kufanya hivyo au ni ushamba?
Wengine Wanasema matumizi ya T-shirt sio kwaajili ya kuchomekeaUshamba (ignorance) ni kutokujua jambo linafanyikaje kwa usahihi au matumizi. Sasa hapo kwenye kuchomekea Tshirt ni yapi ambayo hayajulikani yajulikane
T. Shirt yenye kola ni vyema kuchomekea.Mimi nipo comfortable na hiyo style,navaa mara kwa mara na nimeuliza humu ili kupata maoni ya wengine kuhusu style hiyo
Sahihi kabisa, hata ambayo haina kola pia inafaa, lakini isiwe na maandishi au picha, yaani iwe plainT. Shirt yenye kola ni vyema kuchomekea.
Wote hao walianza kuvaa kabla yetu, sasa kwanini tusiige mavazi kutoka kwao? Au tuendelee kuvaa magome ya miti na ngozi?
Alicho kileta ni zaidi ya ustaarabu bali mfumo sahihi wa kila engo ya maisha ya mwanadamu.Ila kumbuka ustaarabu umeletwa na mwarabu/Mtume wetu rehma na Amani ziwe juu yake
Sahihi kabisa mkuuT-shirt zenye v chini pemben ..hazichomekewagi...zenye round chini ndo huchomekewa ukitaka