Kuchomekea T-shirt ni ushamba?

Kuchomekea T-shirt ni ushamba?

Baadhi wanasema kuchomekea T-shirt sio sawa lakini mimi nafanya hivyo mara kwa mara na sioni kama ni tatzo.

Wadau wa mitindo, je ni sawa kufanya hivyo au ni ushamba?

Kuna watu kazi kuiga wazungu tu, na sikuhizi kuna kastyle flani hivi watu wa maofisini zaidi, mtu anakuvia kisuruali kifupi na kimemmbana kweli kweli 😄
 
Kama nguo wameanza kuvaa wazungu kabla yetu sasa kwanini tusiige style za kuvaa kutoka kwao
 
Kati ya wazungu na waarabu wakwapi wameanza kuvaa nguo na kujistiri? Bila kusahau ustaarabu
Wote hao walianza kuvaa kabla yetu, sasa kwanini tusiige mavazi kutoka kwao? Au tuendelee kuvaa magome ya miti na ngozi?
 
Baadhi wanasema kuchomekea T-shirt sio sawa lakini mimi nafanya hivyo mara kwa mara na sioni kama ni tatzo.

Wadau wa mitindo, je ni sawa kufanya hivyo au ni ushamba?
"It's time you know if the polo is tuckable or not. The normal polo tshirt with a uniform back and front can be worn both ways. While if your polo tshirt is longer at the back and short at the front it is meant to be tucked. Always tuck in a polo tshirt that has a non-uniform length."

Kama lugha inapanda utakuwa umeelewa hiyo nukuu hapo juu. Ila kama hujaelewa ni kwamba kuna Tshirt unazotakiwa kuchomekea na usizotakiwa kuchomekea kulingana na namna zilivyo. Asante.
 
Nimekuelewa mkuu, nazifahamu t- shirt ambazo nyuma zina urefu tofauti na mbele, lakini sikuwa najua maana yake.

Asante kwa kunijuza kuhusu hilo mkuu.
 
Baadhi wanasema kuchomekea T-shirt sio sawa lakini mimi nafanya hivyo mara kwa mara na sioni kama ni tatzo.

Wadau wa mitindo, je ni sawa kufanya hivyo au ni ushamba?
Ushamba (ignorance) ni kutokujua jambo linafanyikaje kwa usahihi au matumizi. Sasa hapo kwenye kuchomekea Tshirt ni yapi ambayo hayajulikani yajulikane
 
Wengine Wanasema matumizi ya T-shirt sio kwaajili ya kuchomekea
 
Back
Top Bottom