Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #81
Kwamba hela ni tofauti na pesa? HowKila mtu ana hela siyo pesa...... Ukipewa milioni kumi utakuwa na milioni kumi lakini siyo milionea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hela ni tofauti na pesa? HowKila mtu ana hela siyo pesa...... Ukipewa milioni kumi utakuwa na milioni kumi lakini siyo milionea.
Mimi kwa mtazamo wangu naona ni sawaKuwa sawa au kutokuwa sawa ni mtazamo wako
Sawa brotherSafi sana dogo chomekea tu iko fresh.
Kwangu si sawaMimi kwa mtazamo wangu naona ni sawa
View attachment 3082924
Baadhi wanasema kuchomekea T-shirt sio sawa lakini mimi nafanya hivyo mara kwa mara na sioni kama ni tatzo.
Wadau wa mitindo, je ni sawa kufanya hivyo au ni ushamba?
Shukran sn mkuu. Ila kuvaa t shirt na kuchomekea sio ushamba 💯.Sahihi kabisa mkuu, kama hiyo ndyo style yako basi naamini inakukaa vyema ndyomaana unaipendelea zaidi.
Pia mtu akiona mtindo fulani unamfaa basi ni vyema kuutimiza bila kujali maneno ya walimwengu
T-shirt 'form six' inachomekewa kama kawaida, isiyochomekewa ni roud colar(kimao).
Baadhi wanasema kuchomekea T-shirt sio sawa lakini mimi nafanya hivyo mara kwa mara na sioni kama ni tatzo.
Wadau wa mitindo, je ni sawa kufanya hivyo au ni ushamba?
Kuchomekea ni kwa mtu yoyote sio lazima uwe mwana michezo au mtu mwenye hela nyingiKama huna hela na sio mtu wa golf au hio tshirt yako haina kafaras Og please nakusihi sana usichomokee
Sawa kabisa mkuu, kuchomekea ni ishara ya unadhifuT-shirt 'form six' inachomekewa kama kawaida, isiyochomekewa ni roud colar(kimao).
Na mwanaume kuulamba(kutokelezea) bila mkanda nje ni kuvaa mdebwedo, tuseme kuchomekea ni takwa la lazima.
Mkuu itakaa poa sana, jaribuNataka nianze kuchomekea t shirt na mimi
SawaNi ujinga
Tena yule ana nidhamu sanaKwa hiyo max wa Yanga ni hayawani
Mkuu naunga mkono hoja yako, kweli kama mtu unaona ni sawa haina haja ya kusita au kusikiliza maneno ya walimwengu.... Chamsingi ni peace of mindHoja yangu kama halmashauri ya kichwa haikusumbui kwamba umekosea "dress code" basi upo sahihi kuchomekea T-shirt
Vyema sana MkuuMkuu kiatu chako kizuri sana
Safi