Kuchomekea T-shirt ni ushamba?

Kuchomekea T-shirt ni ushamba?

Mimi nipo comfortable na hiyo style,navaa mara kwa mara na nimeuliza humu ili kupata maoni ya wengine kuhusu style hiyo
Kama unaauliza kwa kupata tu maoni it's okay,lkn usiruhusu mtu akwambie ni nini cha kuvaa na sio kuvaa madam huvunji tamaduni na mila zetu
 
Mimi katika vitu vimenishinda kabisa ni kuvaa hutu tusuruali tufupi, tunakobana, halafu bila soksi! Kifupi mimi siwezi kuvaa viatu bila soksi.
Screenshot_20240830-192840_Chrome.jpg
 
Mbna hapo umetokaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].
Ila usipendelee sanaa.
 
Back
Top Bottom