Kuchomekea T-shirt ni ushamba?

Kuchomekea T-shirt ni ushamba?

Daah inawezekana siyo ushamba ila tisheti kubwa sana.........naona mara nyingi waalimu zile zao za CWT huwa wanaletewa tu bila kujali size ya mtu
 
Gen Z mnashida sana

1725034824360.png


1725034909785.png
 
Ifike mahala watu mjitambue wewe ni nani,unapenda nini,kipi kinakufanya uwe na furaha

Msiishi kwa tafsir za watu,fashion ni kile kinachokufanya uwe comfortable,na unajihisi okay

Tuache ujinga
Mimi nipo comfortable na hiyo style,navaa mara kwa mara na nimeuliza humu ili kupata maoni ya wengine kuhusu style hiyo
 
Back
Top Bottom