Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Sa si uvae soks.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya Gen Z, wee Millenium haikuhusu.Mimi katika vitu vimenishinda kabisa ni kuvaa hutu tusuruali tufupi, tunakobana, halafu bila soksi! Kifupi mimi siwezi kuvaa viatu bila soksi.
View attachment 3082960
Ukizoea kuvaa hivyo ,ukija kuvaa soksi kwa viatu vya ivyo unaona kama umevaa kishamba.Mimi katika vitu vimenishinda kabisa ni kuvaa hutu tusuruali tufupi, tunakobana, halafu bila soksi! Kifupi mimi siwezi kuvaa viatu bila soksi.
View attachment 3082960
Sio mara zote kuvaa soksSa si uvae soks.....
Sawa teacher.....Sio mara zote kuvaa soks
Siyo kweli, kuna mavazi ukichomekea unapendeza na usipochomea unapendeza pia.Kuchomekea T-shirt ni ushamba was kiwango Cha pro max
Teacher tenaSawa teacher.....
Mkuu umemaliza kabisa, vyema sanaHakuna uhusiano wowote wa kuchomekea t-shirt/shirt na ushamba.
Kuchomekea shirt/t shirt kunazidisha mtu kuonekana ni mtanashati na sio ushamba..
Kabisa mkuu,,Mkuu umemaliza kabisa, vyema sana
Sahihi kabisa mkuu, kama hiyo ndyo style yako basi naamini inakukaa vyema ndyomaana unaipendelea zaidi.Kabisa mkuu,,
English style wengi huchomekea either t shirt au shirt ili waonekane smart zaidi..
T shirt inapendeza zaidi ukichomekea na jeans au cardet.
Mara nyingi zile t shirt za kola ni nzr sana kwa kuchomekea kwenye jeans.
That's my moves.
Pesa kiasi gani mkuu maana kila mtu ana pesaUshamba nikutokuwa na pesa
Lucha wewe 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅Kama unauza mabeseni na vyombo vya plastic siyo ushamba ndo unatakiwa uvae hivyo
Kila mtu ana hela siyo pesa...... Ukipewa milioni kumi utakuwa na milioni kumi lakini siyo milionea.Pesa kiasi gani mkuu maana kila mtu ana pesa
Au uongo la mama?Lucha wewe 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Kuwa sawa au kutokuwa sawa ni mtazamo wakoView attachment 3082924
Baadhi wanasema kuchomekea T-shirt sio sawa lakini mimi nafanya hivyo mara kwa mara na sioni kama ni tatzo.
Wadau wa mitindo, je ni sawa kufanya hivyo au ni ushamba?
Kweli 😅Au uongo la mama?