Kuchota mchanga uliokusanywa na Wafagiaji barabarani ni kosa?

Kegenya

Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
22
Reaction score
15
Habari wana JamiiForums,

Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za lami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye lami).

Je, kuchota mchanga huu ni kosa kisheria?

Mfano wa huo mchanga ni kama kwenye picha hapo
 
Attachments

  • 20250204_152658.jpg
    20250204_152658.jpg
    380.7 KB · Views: 4
Habari wana Jamii forum
Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za rami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye rami). Je kuchota mchanga huu ni kosa kisheria?
rami=lami=tarmac
Siyo kosa kama umekubaliana na mkusanyaji uuchukue.Swali lingine ndugu "rami"!
 
Ni kosa kwa kua hata huko unapochimbwa unalipiwa ushuru sasa inakuaje wewe uokote bila malipo?
Kumbuka hapo sichimbi (ninazoa)
Ule ni ambao umefagiliwa na unarundikana kwenye shoulder ya barabara
 
Habari wana JamiiForums,

Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za lami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye lami).

Je, kuchota mchanga huu ni kosa kisheria?
Unataka kuutumia kwa kujengea?
 
Habari wana JamiiForums,

Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za lami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye lami).

Je, kuchota mchanga huu ni kosa kisheria?
Sio kosa mkuu sio hao ni askari vidole wa kata au mitaa wanataka wakutapeli wewe goma kutoa pesa harafu waambie wakupeleke popote
 
Huku watu wanajichotea michanga tani yao na hakuna wa kuwafuatilia, wanazoa miferejini na mitaroni mchanga safi wa kwenda kujengea. Sanasana wanaonekana kama wanafisha mitaro na mifereji iliyojaa mchanga ulioletwa na maji ya mvua
 
Je kipindi ambacho hamna mvua huwa wanachota pia?
 
Ni kosa sawa na wizi.kitu chochote kilichopo site ni Mali ya wenyewe😂 nafikiri umeelewa wenyewe😂
 
Back
Top Bottom