Kuchota mchanga uliokusanywa na Wafagiaji barabarani ni kosa?

Kuchota mchanga uliokusanywa na Wafagiaji barabarani ni kosa?

Ni kosa sawa na wizi.kitu chochote kilichopo site ni Mali ya wenyewe😂 nafikiri umeelewa wenyewe😂
Ila hii sio ya site
Maana barabara inatumika tayari na hakuwa ujenzi wala marekebisho yanayoendelea
Hii ni michanga iliyofagiliwa na sidhani kama inafaa kwa ujenzi
 
Ni kosa kwa kua hata huko unapochimbwa unalipiwa ushuru sasa inakuaje wewe uokote bila malipo?
Then hao wanaoufagia (wafanya usafi wa jiji husika) wanaupeleka wapi???

Huwaona wakiumwaga pembezoni mwa barabara kule ng’ambo kabisa kwenye majani au udongo je hapa ishu ni ushuru au watu tu kuwa na roho mbaya?
 
Back
Top Bottom