rami=lami=tarmacHabari wana Jamii forum
Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za rami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye rami). Je kuchota mchanga huu ni kosa kisheria?
NAKAZIA, *rami=lami=tarmac
Siyo kosa kama umekubaliana na mkusanyaji uuchukue.Swali lingine ndugu "rami"!
Unataka kuutumia kwa kujengea?Habari wana JamiiForums,
Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za lami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye lami).
Je, kuchota mchanga huu ni kosa kisheria?
Sio kosa mkuu sio hao ni askari vidole wa kata au mitaa wanataka wakutapeli wewe goma kutoa pesa harafu waambie wakupeleke popoteHabari wana JamiiForums,
Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za lami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye lami).
Je, kuchota mchanga huu ni kosa kisheria?
Je kipindi ambacho hamna mvua huwa wanachota pia?Huku watu wanajichotea michanga tani yao na hakuna wa kuwafuatilia, wanazoa miferejini na mitaroni mchanga safi wa kwenda kujengea. Sanasana wanaonekana kama wanafisha mitaro na mifereji iliyojaa mchanga ulioletwa na maji ya mvua
kipinda hakuna mvua mitaro na mifereji hujaa takataka. Sasa uzoe takataka hizo upeleke wapi?Je kipindi ambacho hamna mvua huwa wanachota pia?