I implicit memory JF-Expert Member Joined Nov 14, 2024 Posts 806 Reaction score 926 Feb 4, 2025 #21 Kennedy said: NAKAZIA, * Click to expand... Sasa unakazia nini,badala kumjibu mleta mada,!!!
Kegenya Member Joined Apr 24, 2020 Posts 22 Reaction score 15 Feb 4, 2025 Thread starter #22 lyenyi said: Ni kosa sawa na wizi.kitu chochote kilichopo site ni Mali ya wenyewe😂 nafikiri umeelewa wenyewe😂 Click to expand... Ila hii sio ya site Maana barabara inatumika tayari na hakuwa ujenzi wala marekebisho yanayoendelea Hii ni michanga iliyofagiliwa na sidhani kama inafaa kwa ujenzi
lyenyi said: Ni kosa sawa na wizi.kitu chochote kilichopo site ni Mali ya wenyewe😂 nafikiri umeelewa wenyewe😂 Click to expand... Ila hii sio ya site Maana barabara inatumika tayari na hakuwa ujenzi wala marekebisho yanayoendelea Hii ni michanga iliyofagiliwa na sidhani kama inafaa kwa ujenzi
M Msumb JF-Expert Member Joined Oct 18, 2022 Posts 3,452 Reaction score 5,372 Feb 4, 2025 #23 Kegenya said: Toroli zima Click to expand... Aah sawa nadhani huko wanaukusanya ili kuparinganisha pawe sawa na Barabara ili pasiiname sana kwenda mtaloni
Kegenya said: Toroli zima Click to expand... Aah sawa nadhani huko wanaukusanya ili kuparinganisha pawe sawa na Barabara ili pasiiname sana kwenda mtaloni
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 4,977 Reaction score 6,635 Feb 4, 2025 #24 Kegenya said: Hivi huwa wanaizoa baadae? Click to expand... Wanairushs Kwa juu pembeni, then inarudi Tena..!
Kegenya said: Hivi huwa wanaizoa baadae? Click to expand... Wanairushs Kwa juu pembeni, then inarudi Tena..!
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Feb 4, 2025 #25 Dili za watu hizo
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 6,108 Reaction score 21,140 Feb 4, 2025 #26 kingkimwe said: Ni kosa kwa kua hata huko unapochimbwa unalipiwa ushuru sasa inakuaje wewe uokote bila malipo? Click to expand... Then hao wanaoufagia (wafanya usafi wa jiji husika) wanaupeleka wapi??? Huwaona wakiumwaga pembezoni mwa barabara kule ng’ambo kabisa kwenye majani au udongo je hapa ishu ni ushuru au watu tu kuwa na roho mbaya?
kingkimwe said: Ni kosa kwa kua hata huko unapochimbwa unalipiwa ushuru sasa inakuaje wewe uokote bila malipo? Click to expand... Then hao wanaoufagia (wafanya usafi wa jiji husika) wanaupeleka wapi??? Huwaona wakiumwaga pembezoni mwa barabara kule ng’ambo kabisa kwenye majani au udongo je hapa ishu ni ushuru au watu tu kuwa na roho mbaya?