Mi ni mfanya biashara najua nachokisema,,na namaanisha nachokizungumza,,kukopa kwa kuanzisha biashara wengi wanakwamaKwani Ukikopa na kuanzisha biashara una uhakika kuwa hiyo biashara haitakufa na kukutia hasara?
Kuna mtu alikopa 5m akanunua bajaji, ndani ya wiki moja bajaji ikatekwa na kuibiwa, na haikuwa na comprehensive insurance!!
Mfano mzuri, kwa apa Tanzania. Watanzania wenye Asili ya Indian, wanamiliki Cash na sio assets. Na wengi wanakopa pesa ndefu kwa ajili ya kufanyia biashara na sio kujenga nyumba na ndio maana waindi wengi wanakaaa katika nyumba za NHC. Awana stress za kujenga nyumba na pesa za mawazoBut Asians don't like owning maisonettes. Nadhani boresha biashara iwe kubwa mzunguko ukiwa mzuri utajenga ikulu bila stress!!
Good [emoji112] mkuu kama mimiHa ha ha umenifurahisha sana,muda mwngine kudaiwa kuna kufanya uongeze juhud zaid ya kutafuta,ila nyumba yako inafaida gan kama unaishi na maisha ya shida na stress... Sio kila aliepanga hawez kujenga,kuna aliejenga ana maisha magumu na stress kuliko aliepanga.. Nyumba ni nzur,kwako ni kuzur na heshima,lakin kuliko nijenge kwa mawazo na kuanza kufikiria maden,ukiangalia nyumba hata haijaisha,madirishan umeweka mabox,chin hata floor haijawekwa eti kisa tu nami nionekane nina nyumba lah siwez,, kujenga ni process inayokwenda taratibu kulingana na kipato chako,kama mfanyakaz kopa,weka biashara,zungusha ukipata faida nunua vifaa kdgo kdgo mwsho unakuta umepiga hatua bila stress wala kuumiza kichwa.. Japo siwez mdhadau yyte mwenye kwake. Naheshim pia mawazo yako
Kweli mkuu ishi vzuri hata ka kupanga watoto wasome vizuri mambo mengine yatafuata huko ulaya umeona nani anajenga?
Mkuu tafadhari sana naomba unitafsirie ndoto zangu .... uzi wa jinsi ya kutafsiri ndoto uliyoota....Natamani nikuongezee like. Umeona mbali huo ukweli mtupu.
Nimeutafuta leo sijaupata hebu njoo inboxMkuu tafadhari sana naomba unitafsirie ndoto zangu .... uzi wa jinsi ya kutafsiri ndoto uliyoota....
Nimesubiri sana lakini kuna ndoto hujatafsiri.
Thanks in advance
Hivi JF sasa hivi member wengine mwana umri gani?maana siwaelewi elewi vile ...mtu anaamaini zaidi kutoka kwake hataki kujifunza , ni kupinga sana bila kuonyesha palipo na mwangaWewe kweli unakula panya. Usisifie uwozo kama chakula chako. Mikopo inayotolewa na hizi bank zetu ndio inaumiza sana kwa riba kuwa kubwa lkn upande mwengine huwapa nafuu watu wengi kwa kuwapatia makaazi mazuri na kuondosha usumbufu wa kuhamia kila mitaa.
Tatizo uelewa wako mdogo ndio maana umeshindwa kujua naongelea upande gani. Jifunze tu mbona mambo madogo tu haya.Hivi JF sasa hivi member wengine mwana umri gani?maana siwaelewi elewi vile ...mtu anaamaini zaidi kutoka kwake hataki kujifunza , ni kupinga sana bila kuonyesha palipo na mwanga
Hongera uelewa wako mkubwa..ndo mlichobakiza negativity always ...kazana sasa..Tatizo uelewa wako mdogo ndio maana umeshindwa kujua naongelea upande gani. Jifunze tu mbona mambo madogo tu haya.
Nashukuru ngoja nikutumie mkuuNimeutafuta leo sijaupata hebu njoo inbox
Hii njia ndio nzuri-juzi kuna jamaa moja friend of mine alikuwa na 400M bank zake mwenyewe lakini alikwenda kukopa 200M NIlishangaa nakuuliza kwa ninj unafanys hivyo siuchukue hela ulizo nazo bank utumie akaniambia hii ndio njia sahihiUmesema vema sana,,,na ushahidi nauona kwa watu kadhaa wanaonizunguka.. Ila ni vzr kukopa ukazalisha kuliko kukopa ukajenge,,, mm hua nakopa tena sana tu ila sikop kama sina hela,nikitaka kununua kitu labda cha 5m. Nahakikisha hiyo hela ninayo,then naenda kukopa ile ile 5m,baadae nanunua nachotaka then ile hela niliyonayo naiweka kwenye mzunguko inalipa deni,,sijawah kujuta kutumia njia hii