Kuchukua mkopo benki na kujengea nyumba ni jambo jema lakini hasara yake ni kubwa

Mikopo tunayokopa benki hapa nchini Tanzania zina riba kubwa sana kitu ambacho hufanya watanzania wengi kutofaidika sana na mikopo hiyo. Kwani kuna benki hutoza riba zenye faida ya asilimia 18%-23%.

Watanzania tulio wengi tukishachukua mikopo hiyo hukimbilia kuninua uwanja na kuanza kujenga nyumba, kisha huishi maisha ya shida sana kwa kipindi cha miaka minne mpk mitano. Wapo wengine hukimbilia kununua gari ili waonekane hapa mjini lakini hata uwanja hawana, mikopo hiyo ya benk ina mambo sana.

Wazo la kukimbilia kujenga nyumba kwa kutumia mkopo ni kujitengenezea maisha ya dhiki sana kwani makato huwa makubwa na kufanya kila siku kukimbizana na madeni yasiyoisha. Ushauri wangu na maoni yangu kama unataka kujenga au kununua gari ni bora ujiwekee mkakati binafsi unaweza amua kila mwezi kujiwekea kiasi fulani ambacho unatumia kwaajiri ya ujenzi, utafanya hivyo bila riba wala hasara yeyote.

Mikopo ya benki ni yakuwekeza katika biashara na ili ziongeze kipato na biashara hiyo irudishe mkopo huo yenyewe bila we kuathiri mapato ya kazi yako.

Kuweka pesa kila mwezi au kila sikunkutokana na maingizo yako inawezekana, kikubwa ni uamuzi thabiti na kujiwekea malengo na kuhakikisha unayafikia malengo yako.

Huu ni ushauri na maoni yangu jinsi ninavyoona namna ya kutumia mkopo wa benk kwa faida, lakini hata kama mtu akajenga nyumba ya biashara ni sahihi lakini nyumba ya kuishi ni safi sana lakini kuna hasara kubwa ndani yake.
Ushauri chanya
 
Hivi unajua akili za kijasiriamali haziko sawa! Hivi unajua kama huna akili ya biashara hata ukipewa mil 200 haiwezi kukusaidia kuongeza kipato Zaid utaingiza hasara tu? Watumishi wengi hawana muda wa kusimamia biashara zao unalijua hilo, nawashaur watumishi kopeni mjenge nyumba na mnunnue magari, mtaishia kupanga kwa huyu jamaa!!!
 
We yaelekea bado una panga au unaishi kwenye nyymba ya baba yako, ya urithi ama unaishi ukweni. Huwezi jenga nyumba Kia kudunduliza ili zijae ndo uanze ujenzi, hiyo itakuwa ni kukosa akili labda kama unaishi kwa wakwezo. Ndo maana nikasema we hujui kujenga ilivokuwa kazi kubwa ukizingatia gharama za ujenzi zinapanda kila mwaka. Huwezi mfananisha mtu anaekopa pesa akajenge na anaekopa pesa akafanyie biashara. Hao watu wana malengo tofauti na furaha yao ni kuona malengo yao yanafanyika. Hebu jaribu kujifikirisha kidogo Kia mtu aliekopa pesa miaka 5 ilopita na kujenga nyumba na yule aliedunduluza tangia wakati huo ili aanze ujenzi mwaka huu. Anglia bei za vifaa na gharama za wakati huo na sasa. Bei ya kiwanja miaka 5ilopita na bei ya sasa. Kumbuka katika kufikia malengo yako huwezi epuka risk. Angalia nyakati hizi za Magu ambapo Niagara nyingi zimeanguka na watu kujinyonga kwa kushindwa kilipa marejesho benki. Kopa ili kutimiza ndoto zako na sio blablaa za vijiweni. Hakuna raha na faida kama kuishi kwenye nyumba ya jasho lako we na mkeo na wato wako. Zaidi ya hapo ni utumwa ambao kila siku inakubidi umwombe Maulana akunasue.
 
Shambulia hoja mkuu kuliko kumshambulia mtu, kukaa ukweni si tatizo kila mtu anajua namna ya kuendesha maisha yake ndomana kila aliyechangia hoja alikuwa anajikita kujibu au kutoa maoni ya hoja hii si kumzungumzia mtoa hoja. Kabla ya kuchangia hoja, mada au mazungumzo jifunze kujua hoja ni nini na ujibu hoja ndo wastarabu na waelevu wanavyofanya.
 
We yaelekea bado una panga au unaishi kwenye nyymba ya baba yako, ya urithi ama unaishi ukweni. Huwezi jenga nyumba Kia kudunduliza ili zijae ndo uanze ujenzi, hiyo itakuwa ni kukosa akili labda kama unaishi kwa wakwezo. Ndo maana nikasema we hujui kujenga ilivokuwa kazi kubwa ukizingatia gharama za ujenzi zinapanda kila mwaka. Huwezi mfananisha mtu anaekopa pesa akajenge na anaekopa pesa akafanyie biashara. Hao watu wana malengo tofauti na furaha yao ni kuona malengo yao yanafanyika. Hebu jaribu kujifikirisha kidogo Kia mtu aliekopa pesa miaka 5 ilopita na kujenga nyumba na yule aliedunduluza tangia wakati huo ili aanze ujenzi mwaka huu. Anglia bei za vifaa na gharama za wakati huo na sasa. Bei ya kiwanja miaka 5ilopita na bei ya sasa. Kumbuka katika kufikia malengo yako huwezi epuka risk. Angalia nyakati hizi za Magu ambapo Niagara nyingi zimeanguka na watu kujinyonga kwa kushindwa kilipa marejesho benki. Kopa ili kutimiza ndoto zako na sio blablaa za vijiweni. Hakuna raha na faida kama kuishi kwenye nyumba ya jasho lako we na mkeo na wato wako. Zaidi ya hapo ni utumwa ambao kila siku inakubidi umwombe Maulana akunasue.

Mkuu nakupa 5 nimependa maoni yako hasa hapo kwenye rangi nyekundu huo ndio uanamume.
 
Kila mtu achukue mkopo afanyie lile analoona linamlipa zaidi... Kwa aliyeamua kununua ardhi kwa hela ya mkopo sawa, kwa aliye na ardhi akaamua kujenga sawa tu, na aliyeamua kuendelea kulipa kodi ya nyumba lak 2 hadi 4 kwa mwezi halafafu mkopo wake akaamua kufanyia biashara badala ya kujenga ni sawa pia.. Usiige kitu usichokijua.
 
Mikopo tunayokopa benki hapa nchini Tanzania zina riba kubwa sana kitu ambacho hufanya watanzania wengi kutofaidika sana na mikopo hiyo. Kwani kuna benki hutoza riba zenye faida ya asilimia 18%-23%.

Watanzania tulio wengi tukishachukua mikopo hiyo hukimbilia kuninua uwanja na kuanza kujenga nyumba, kisha huishi maisha ya shida sana kwa kipindi cha miaka minne mpk mitano. Wapo wengine hukimbilia kununua gari ili waonekane hapa mjini lakini hata uwanja hawana, mikopo hiyo ya benk ina mambo sana.

Wazo la kukimbilia kujenga nyumba kwa kutumia mkopo ni kujitengenezea maisha ya dhiki sana kwani makato huwa makubwa na kufanya kila siku kukimbizana na madeni yasiyoisha. Ushauri wangu na maoni yangu kama unataka kujenga au kununua gari ni bora ujiwekee mkakati binafsi unaweza amua kila mwezi kujiwekea kiasi fulani ambacho unatumia kwaajiri ya ujenzi, utafanya hivyo bila riba wala hasara yeyote.

Mikopo ya benki ni yakuwekeza katika biashara na ili ziongeze kipato na biashara hiyo irudishe mkopo huo yenyewe bila we kuathiri mapato ya kazi yako.

Kuweka pesa kila mwezi au kila sikunkutokana na maingizo yako inawezekana, kikubwa ni uamuzi thabiti na kujiwekea malengo na kuhakikisha unayafikia malengo yako.

Huu ni ushauri na maoni yangu jinsi ninavyoona namna ya kutumia mkopo wa benk kwa faida, lakini hata kama mtu akajenga nyumba ya biashara ni sahihi lakini nyumba ya kuishi ni safi sana lakini kuna hasara kubwa ndani yake.

Nataka kukopa pesa nijenge nyumba ya pili ninayotaka kukopea nimepangisha yaani itajilipa deni yenyewe je vipi ushauri wako
 
Hii njia ndio nzuri-juzi kuna jamaa moja friend of mine alikuwa na 400M bank zake mwenyewe lakini alikwenda kukopa 200M NIlishangaa nakuuliza kwa ninj unafanys hivyo siuchukue hela ulizo nazo bank utumie akaniambia hii ndio njia sahihi
Kumbe njia hii tumeshagundua wengi,maana hata mm nilijifunza kwa rafik yangu vile vile ana milion 30 anataka kununua gar milion 16, jaenda kukopa kanunua na ile nyingine inazunguka analipa kidgo kidgo
 
Mimi nasoma hapa nasikitika sana, nimeishia kuwa omba omba na mwaka haujaisha sasa. Hadi nimalize mitano nitakuwa nimenyooka. Unafika muda unawaza kwa nini Mungu asichukue roho yako? Maisha ni magumu asikwambie mtu. Ila Magufuli ndo amenitonesha zaidi kidonda kwa kuongeza hiyo asilimia za makato ya bodi ya mkopo
Pole sana ila katika maisha mwalimu pekee asiedanganya ni MATATIZO basii
 
Pole mkuu hii hali ilitupata 2012 tuliwekeza kwenye vitunguu kwa hela ya mkopo aiseee tulikula loss ya hatari machozi yalitutoka tuliyumba mnoooo ila Mungu ni mwema na ww utavuka
Nam nataka nikalime mbona kam unanitisha?
 
Nilikuwa napanga Nyumba nalipa 400000 kwa mezi,nimokopa nikajenga Nyumba nanimehamia sina shida kabisa uache uongo we we,kukopa kunasaidia sana tu
Mimi pia nimefanikiwa kujenga nyumba mbili kwa mikopo. Moja naishi mwenyewe nyingine nimepangisha inanipa hela ya bia za kutosha kabisa.
 
Hivi unajua akili za kijasiriamali haziko sawa! Hivi unajua kama huna akili ya biashara hata ukipewa mil 200 haiwezi kukusaidia kuongeza kipato Zaid utaingiza hasara tu? Watumishi wengi hawana muda wa kusimamia biashara zao unalijua hilo, nawashaur watumishi kopeni mjenge nyumba na mnunnue magari, mtaishia kupanga kwa huyu jamaa!!!
Duuh we kiboko
 
Mkuu nakupa 5 nimependa maoni yako hasa hapo kwenye rangi nyekundu huo ndio uanamume.
Raha ya maisha sio lazma uwe umejenga nyumba,,raha ya maisha ni kufanikisha mengi ambayo unayataman,na kuyaishi,sio kila mtu ana taman kua na nyumba,mi naamin yyte anaejua kutafuta hela na mwenye maono ya mbali nyumba sio kipaumbele chao.. Nyumba ni kitu cha mwsho kuwa nacho,ila unaweka mikondo ya hela ili hela ianze kukufanyia kaz baada ya wewe kutumia muda mwngi na akili na nguvu zako kuitafuta sasa inafiki kipind hela inakutumikia wewe.. Unaiamuru na inakupa majibu mubashara, mi namtetea mtu ambae anaweza kupanga laki sita kwa mwez kwenye appaintment then chin ana gar ya milion30-40,huyu akiamua kujenga anajenga tu lakin kujenga sio kipambele chake..

Narudia nyumba inakusaidia nn kama umewekeza nguv zako zote kwenye kujenga halaf kula kwako kumekua kwa shida? Nyumba ina maana gan kama umekopa ukajenga na mshahara wako unakatwa unabaki kulalamikia serikali? Kujenga kuna maana gan kama unalala njaa? Wekeza hela akilini ili akili ikujazie hela mfukoni hapo unaweza nunua cchte ukipendacho. Bado nasema siwalaumu wanaokopa kwa ajili ya ujenzi
 
Nam nataka nikalime mbona kam unanitisha?

[emoji2][emoji2][emoji2]sikutishi mkuu lililonipata mm haliwezi kukupata ww ila muhimu usimamizi iwe ya karibu mno kwa upande wetu poor supervision ilipelekea hasara kubwa tulilima kwa simu so km unataka kulima uko naomba uwe msimamiz mkuu kwa hatua zote usimwamini ht ndugu
 
Sawa Mkuu hayo ni maoni YAKO.. show off mjini sio?..jiangalie mdogo wangu...
 
[emoji2][emoji2][emoji2]sikutishi mkuu lililonipata mm haliwezi kukupata ww ila muhimu usimamizi iwe ya karibu mno kwa upande wetu poor supervision ilipelekea hasara kubwa tulilima kwa simu so km unataka kulima uko naomba uwe msimamiz mkuu kwa hatua zote usimwamini ht ndugu
Nashikuru sana maana nataka nikakae huko huko
 
Nilikopa 2,000,000 Nikanunua pikipiki ya San lg na ilikua 2009.Mkopo uliisha 2011.Pikipiki ipo hadi Leo nakula bata kinoma.Mkopo ukiutumia vema unalipa.
Hiyo Pikipiki, ulifanya ya Biashara au ya kutembelea?
 
Back
Top Bottom