Kuchukua mkopo benki na kujengea nyumba ni jambo jema lakini hasara yake ni kubwa

Kuchukua mkopo benki na kujengea nyumba ni jambo jema lakini hasara yake ni kubwa

Kwani Ukikopa na kuanzisha biashara una uhakika kuwa hiyo biashara haitakufa na kukutia hasara?

Kuna mtu alikopa 5m akanunua bajaji, ndani ya wiki moja bajaji ikatekwa na kuibiwa, na haikuwa na comprehensive insurance!!
Mi ni mfanya biashara najua nachokisema,,na namaanisha nachokizungumza,,kukopa kwa kuanzisha biashara wengi wanakwama
Kukopa ukiwa mfanyakazi kwa makato yako utaishi ila kwa tabu
Kukopa ili ununue kisichozalisha ni tabu kwako,tabia ya hela moja kuzungusha na kuwekeza,usipofanya kimoja wapo utaishi huku moyon unaugulia... Naheshim mawazo yako pia,ila siwez kukopa kama sina hela
 
But Asians don't like owning maisonettes. Nadhani boresha biashara iwe kubwa mzunguko ukiwa mzuri utajenga ikulu bila stress!!
Mfano mzuri, kwa apa Tanzania. Watanzania wenye Asili ya Indian, wanamiliki Cash na sio assets. Na wengi wanakopa pesa ndefu kwa ajili ya kufanyia biashara na sio kujenga nyumba na ndio maana waindi wengi wanakaaa katika nyumba za NHC. Awana stress za kujenga nyumba na pesa za mawazo
 
Ha ha ha umenifurahisha sana,muda mwngine kudaiwa kuna kufanya uongeze juhud zaid ya kutafuta,ila nyumba yako inafaida gan kama unaishi na maisha ya shida na stress... Sio kila aliepanga hawez kujenga,kuna aliejenga ana maisha magumu na stress kuliko aliepanga.. Nyumba ni nzur,kwako ni kuzur na heshima,lakin kuliko nijenge kwa mawazo na kuanza kufikiria maden,ukiangalia nyumba hata haijaisha,madirishan umeweka mabox,chin hata floor haijawekwa eti kisa tu nami nionekane nina nyumba lah siwez,, kujenga ni process inayokwenda taratibu kulingana na kipato chako,kama mfanyakaz kopa,weka biashara,zungusha ukipata faida nunua vifaa kdgo kdgo mwsho unakuta umepiga hatua bila stress wala kuumiza kichwa.. Japo siwez mdhadau yyte mwenye kwake. Naheshim pia mawazo yako
Good [emoji112] mkuu kama mimi
 
Kweli mkuu ishi vzuri hata ka kupanga watoto wasome vizuri mambo mengine yatafuata huko ulaya umeona nani anajenga?

Ni kweli Ulaya ni wachache wanaojenga. Ila wengi wananunua nyumba kwa mikopo (mortgage), kupitia mabenki.
Muda wa kurejesha mikopo hiyo kwa wastani ni miaka 10 mpaka 25.
 
Za kuambiwa changanya na za kwako.
Vipato na vyanzo vya vipato vyetu vinatofautiana.
Mazingira na mahitaji yanatofautiana.
Kinachoonekana nafuu kwako kwa mwingine hakiwezekani.
Naheshimu mawazo yako mkuu.
 
Wewe kweli unakula panya. Usisifie uwozo kama chakula chako. Mikopo inayotolewa na hizi bank zetu ndio inaumiza sana kwa riba kuwa kubwa lkn upande mwengine huwapa nafuu watu wengi kwa kuwapatia makaazi mazuri na kuondosha usumbufu wa kuhamia kila mitaa.
Hivi JF sasa hivi member wengine mwana umri gani?maana siwaelewi elewi vile ...mtu anaamaini zaidi kutoka kwake hataki kujifunza , ni kupinga sana bila kuonyesha palipo na mwanga
 
Hivi JF sasa hivi member wengine mwana umri gani?maana siwaelewi elewi vile ...mtu anaamaini zaidi kutoka kwake hataki kujifunza , ni kupinga sana bila kuonyesha palipo na mwanga
Tatizo uelewa wako mdogo ndio maana umeshindwa kujua naongelea upande gani. Jifunze tu mbona mambo madogo tu haya.
 
kama unataka kujenga jenga taratibu. usitake kujenga kwa mkupuo, unaweza jenga nyumba moja taratibu upto 3 yrs. ukipata fedha kidogo nunua matofali kadhaa, mifuko kadhaa ya cement. Mdogomdogo utajikuta una kwako.

but maamuz ya mkopo yanaweza kuwa beneficial sometimes. ukiwa unaangalia costs za kukopa ondoa gharama ya kodi unayolipa nw. pia sometimes nyumba za kupanga zina kera sana, matumizi ya umeme ni mabovu.

I prefer kujenga taratibu but isiwe sana unaweza jikuta unaingia kwenye nyumba ambayo ni outdated.
 
Ndomaana wengi wanaishia kwenye kupanga tu kusafisha nyumba za watu je ww yako utasafisha lini
 
Umesema vema sana,,,na ushahidi nauona kwa watu kadhaa wanaonizunguka.. Ila ni vzr kukopa ukazalisha kuliko kukopa ukajenge,,, mm hua nakopa tena sana tu ila sikop kama sina hela,nikitaka kununua kitu labda cha 5m. Nahakikisha hiyo hela ninayo,then naenda kukopa ile ile 5m,baadae nanunua nachotaka then ile hela niliyonayo naiweka kwenye mzunguko inalipa deni,,sijawah kujuta kutumia njia hii
Hii njia ndio nzuri-juzi kuna jamaa moja friend of mine alikuwa na 400M bank zake mwenyewe lakini alikwenda kukopa 200M NIlishangaa nakuuliza kwa ninj unafanys hivyo siuchukue hela ulizo nazo bank utumie akaniambia hii ndio njia sahihi
 
Back
Top Bottom