Kuchukua mkopo benki na kujengea nyumba ni jambo jema lakini hasara yake ni kubwa

Kuna mdada moja alikuwa anatufundisha fom 5 alitokea uswizi alituuliza kila moja malengo na ndoto zetu za badaye wengi wetu walikua wanasema nikimalize niajiliwe kisha nioe -nijenge nyumba yangua ys kuisihi na nininie gari langi la kutembela.yule dada alishangaa sana kwanza akauliza kwa nini wengi wenu ndoto zenu zinafanana na akashangaa akauliza kwani huku ni rahisi kujenga hadi kila mtu anataka awe na nyumba??
Hamna aliyesema anataka aanzishe kampuni,hamna aliyesema anataka kuwa mwanasiasa,hamna aliyesema anataka aanzishe mradi fulani aajili watu kwa kweli yule dada alishangaa sana!
 
Mimi nasoma hapa nasikitika sana, nimeishia kuwa omba omba na mwaka haujaisha sasa. Hadi nimalize mitano nitakuwa nimenyooka. Unafika muda unawaza kwa nini Mungu asichukue roho yako? Maisha ni magumu asikwambie mtu. Ila Magufuli ndo amenitonesha zaidi kidonda kwa kuongeza hiyo asilimia za makato ya bodi ya mkopo
 
Maisha ni nyumba......
 
miaka mitano sio mingi mkuu siku hazigandi, lakini nyumba si imeisha?
 
Nilikuwa napanga Nyumba nalipa 400000 kwa mezi,nimokopa nikajenga Nyumba nanimehamia sina shida kabisa uache uongo we we,kukopa kunasaidia sana tu
Mkuu usisemee uogo ...bali sema inategemea na kipato chako....Kama ulikuwa unawezo wa kulipa kodi kwa mwezi sh laki 4.Maana mshahara wako au kipato chako kikubwa.Pia mtoa post amezungumzia tabaka la chini TGS A,B,C, D na F. kma wewe mambo safi hii mada si rafiki kwako......
 
Pole mkuu hii hali ilitupata 2012 tuliwekeza kwenye vitunguu kwa hela ya mkopo aiseee tulikula loss ya hatari machozi yalitutoka tuliyumba mnoooo ila Mungu ni mwema na ww utavuka
Nashukuru sana kwa kunipa nguvu maana inafika muda unaona maisha hayana thamani kwako.
 
Nimekusoma sana mkuu kando ya mistari
 
Watu wengu sana wanaadhirika kutokana na mikopo hiyo ya benk hasa pale inapotumika kununua fixed ambazo hazigenerate income ya kufidia kile kinachopunguzwa na benki
 
umeongea kitu cha msingi sana.,kwamba ukiwa kama mfanyakazi wa serikali na karibu kila siku unatakiwa uwe kazini karibu siku nzima,mambo ya pesa sio ya kumkabidhi mtu aendeshe unatakiwa ww mwenyewe uwepo fizkal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…