Kuchukua pesa za watu benki si kitu cha kawaida, Inawezekana nchi imefilisika!

Kuchukua pesa za watu benki si kitu cha kawaida, Inawezekana nchi imefilisika!

Mbona inaeleweka zinakokwenda kufanya kazi tozo na Kodi zetu, kwani huoni vituo vya Afya, zahanati, shule, huduma za umeme na maji vikisogezwa na kupelekwa Hadi vijijini, kwani huoni namna mwananchi alivyo punguziwa adha ya kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma,

Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu kwa kazi kubwa anayoifanya kuijenga nchi yetu,

Pia tutambue kuwa nchi yetu itajengwa kwa mikono yetu wenyewe, hivyo lazima tuchangie kidogo kutoka katika vipato vyetu kuijenga nchi yetu
We jamaa ni wa ovyo kinoma....2025 mkimuweka Samia jiandaeni kuiba kura maana watakaomchagua ni nyinyi tu walamba asali HakunA mwananchi wa kawaida atoke kwake akampigie kura huyu maza
 
We jamaa ni wa ovyo kinoma....2025 mkimuweka Samia jiandaeni kuiba kura maana watakaomchagua ni nyinyi tu walamba asali HakunA mwananchi wa kawaida atoke kwake akampigie kura huyu maza
Mh mama Samia suluhu Hassani ndio Rais wetu mpaka 2030, anakubalika na watanzania na watanzania bado tunamhitaji mh mama Samia suluhu Hassani aendelee kututumikia sisi watanzania

Ameonyesha dhamira ya dhati katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi kwa nchi hii, ameonyesha juhudi kubwa katika kutatua kero na matatizo ya wananchi,
 
Usipende kuwasemea watu, sema ww na familia yako ndio mnamkubali
 
Punguza jazba eleza vzr mbona hueleweki unalalamikia nn ? Tozo na wizi ni vtu viwili tofauti
Jiwe ndo alkua anaiba na kuchukua pesa za watu bank je bado wanachukua ?
Au tozo ndo unalalamikia
 
Usipende kuwasemea watu, sema ww na familia yako ndio mnamkubali
Anakubalika Sana mh Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan,labda Kama wewe ndio unashaka lakini lazima hata familia yako inampenda mh Rais kwa kuwa kazi anazozifanya lazima zimewagusa iwe katika huduma za Afya, Elimu, maji, umeme ,kilimo n,k maana kwote huko mh Rais wetu ameweka mikono yake kwa kuweka uwekezaji mkubwa Sana
 
Hahahaaaa..... Kuna watu waliongezewa mshahara sh 8,000/= Halafu wakaenda benki kutoa hela wakakatwa tozo sh 12,000/=

Nchi itajengwa na wenye moyo italiwa na wenye meno.

Lkn nafikiri tusilalamike Sana Jambo jema Ni hizo tozo zitumike KWA tija..

Ila mm naona mama anapiga Kazi tofauti na bwana yule mwenye komwe.mwendazake,yule mnyang'anyi, mtekaji ,mtesaji, muuaji mwenye visasi na kila mtu.

Ila Magu alijua akajifia zake mapemaaa.
 
Yani hakuna kitu kibaya kama kushindwa jitoa ktk difficult situation. CCM ni difficult situation and we can't get rid of it.
Unashindwaje kujitoa kwenye difficult situation mzee kataa hio spirit, we have to man up! No options...Nobody will do it for us na malalamiko ya mtandaoni hayasaidii
 
Hahahaaaa..... Kuna watu waliongezewa mshahara sh 8,000/= Halafu wakaenda benki kutoa hela wakakatwa tozo sh 12,000/=

Nchi itajengwa na wenye moyo italiwa na wenye meno.

Lkn nafikiri tusilalamike Sana Jambo jema Ni hizo tozo zitumike KWA tija..

Ila mm naona mama anapiga Kazi tofauti na bwana yule mwenye komwe.mwendazake,yule mnyang'anyi, mtekaji ,mtesaji, muuaji mwenye visasi na kila mtu.

Ila Magu alijua akajifia zake mapemaaa.
Kazi na watu hawawajibishwi, subirien ripoti ya CAG mtachekaa
 
Hayati alichukua za Matajiri tu lakini huyu wa Sasa hadi za Walemavu anakomba.
Walimnanga Magufuli anachukua hela za watu kwenye akaunti kwa kigezo cha Malimbikizo ya kodi which made alot of sense sababu matajiri wengi walikwepa kodi kipindi cha Jakaya, sasa tuliyenaye kabatiza wizi wa mchana kweupe kwa jina la "Tozo" kikubwa nainjoy sababu hata waliomtukana Magufuli wanainjoy panga linalotembezwa kuanzia bank, kwenye simu hadi magtoni wanakolala.
 
Kuchukua pesa za watu bank si kitu cha kawaida. Hii nchi RAIA wake huwa tunatabia ya kuzoea mambo hata yasiyozoeleka. Huwa tunasema tunamwachia Mungu. Na, hata hili litapita.

Lakini ni bora hata tuambiwe zinaenda wapi? Kama tunalipa madeni tuambieni na kama zinaenda kwenye miradi tuambieni, kama ndo tunajilipa mishahara semeni pia.

Kukaa kimya kama hamsikii malalamiko ya wananchi ni dharau kubwa. Tunahitaji tuambiwe hizi pesa mnazochukua kwenye Acc za watu bank ZINAKWENDA WAPI!?
1661335138848.png
Huyu hapa tunamtaka ajiuzulu au atueleze kwa nini anakwapua jasho letu huko Banks
 
CCM hao, sijui this time watailaumu CHADEMA kwa lipi.....
Yani nchi imefilisika alafu bado wanajilipa mishahara mikubwa tu na maposho kibao,
Nadhani itakua wameamua kutuwekea akiba kwa lazima, labda wataturudishia baadae
 
Back
Top Bottom