Kuchunguza simu ya mpenzi wangu mwisho ilikuwa 2017, siwezi na sirudii

Kuchunguza simu ya mpenzi wangu mwisho ilikuwa 2017, siwezi na sirudii

Nilishika adabu mbona, kwa sasa kama nikiishika basi nitamuomba kwanza ili kama ana mambo yake afute nisione na nitafanya kile nachohitaji kama kutumia internet basi yaan yale mambo ya msingi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] simu ya mtu wako limekuwa kama Bomu la kutegwa
 
Mimi lazima nikague simu ya demu wangu siwezi kuishi kifalafala muda wote nipo kwenye ukaguzi wa CAG nikikuta madudu natumbua tu eti utatumbua wangapi!?hata milioni kwa tatizo lipo wapi?
Mbususu zimejaa tele mtaani ni wewe tuu na urefu wa mfuko wako
 
basi wewe ni wife material.. wengine utaanza kuulizwa simu yangu ya nini [emoji1787][emoji1787]
😂😂 Unajua nyie hua mna mitego yenu, mara nyingi mtu anakuomba akutest kama utamnyima ili apate kisingizio cha kukunyima yake so me nampa kwa moyo wote ili siku nikimuomba akose kisingizio.
Mwanamke ukimtreat vizuri na kutimiza wajibu wako hatahangaika na simu ya yako, labda awe na kiherehere tu
 
[emoji23][emoji23] Unajua nyie hua mna mitego yenu, mara nyingi mtu anakuomba akutest kama utamnyima ili apate kisingizio cha kukunyima yake so me nampa kwa moyo wote ili siku nikimuomba akose kisingizio.
Mwanamke ukimtreat vizuri na kutimiza wajibu wako hatahangaika na simu ya yako, labda awe na kiherehere tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe basi sasa hivi nitakuwa nampa tu ashike ila akikutana na balah basi atajua mwenyewe huko ili kuoandoa ugomvi.. ila nakumbuka nilishajibigawa jibu hilo "simu umeni nunulia wewe"[emoji24][emoji24]
 
Itabidi kuanza kuwasiliana na michepuko kwa email na convo za jf.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe basi sasa hivi nitakuwa nampa tu ashike ila akikutana na balah basi atajua mwenyewe huko ili kuoandoa ugomvi.. ila nakumbuka nilishajibigawa jibu hilo "simu umeni nunulia wewe"[emoji24][emoji24]
Kabla ya kumpa futa kwanza asije kuona half akakuacha ukabaki mwenyewe😄
 
Sanamu lako utalikuta pale ubungo kesho...kwa heshimaa tutaliandika jina lako.

Anyway mimi simi ya mke wangu ni kama yakwaangu,ni backup simu yangu nafanya nayo shughuli zangu. Ila yakwangu hua hana time nayo kabisa
 
Siku niliposhika cm nikakuta mapicha ya uchi na ma video wamejirekodi tena na mke wa mtu ndo ilikuwa mara ya mwisho.
 
Back
Top Bottom