[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] simu ya mtu wako limekuwa kama Bomu la kutegwaNilishika adabu mbona, kwa sasa kama nikiishika basi nitamuomba kwanza ili kama ana mambo yake afute nisione na nitafanya kile nachohitaji kama kutumia internet basi yaan yale mambo ya msingi
Hahahaa hatari, ila me naona bora iwe hivyo ili tuishi kwa amani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] simu ya mtu wako limekuwa kama Bomu la kutegwa
Ila yako una mruhusu ashike bila tatizo?Hahahaa hatari, ila me naona bora iwe hivyo ili tuishi kwa amani
Mbususu zimejaa tele mtaani ni wewe tuu na urefu wa mfuko wakoMimi lazima nikague simu ya demu wangu siwezi kuishi kifalafala muda wote nipo kwenye ukaguzi wa CAG nikikuta madudu natumbua tu eti utatumbua wangapi!?hata milioni kwa tatizo lipo wapi?
Ina password ila akihitaji namtolea nampaila yako una mruhusu ashike bila tatizo?
basi wewe ni wife material.. wengine utaanza kuulizwa simu yangu ya nini [emoji1787][emoji1787]Ina password ila akihitaji namtolea nampa
😂😂 Unajua nyie hua mna mitego yenu, mara nyingi mtu anakuomba akutest kama utamnyima ili apate kisingizio cha kukunyima yake so me nampa kwa moyo wote ili siku nikimuomba akose kisingizio.basi wewe ni wife material.. wengine utaanza kuulizwa simu yangu ya nini [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe basi sasa hivi nitakuwa nampa tu ashike ila akikutana na balah basi atajua mwenyewe huko ili kuoandoa ugomvi.. ila nakumbuka nilishajibigawa jibu hilo "simu umeni nunulia wewe"[emoji24][emoji24][emoji23][emoji23] Unajua nyie hua mna mitego yenu, mara nyingi mtu anakuomba akutest kama utamnyima ili apate kisingizio cha kukunyima yake so me nampa kwa moyo wote ili siku nikimuomba akose kisingizio.
Mwanamke ukimtreat vizuri na kutimiza wajibu wako hatahangaika na simu ya yako, labda awe na kiherehere tu
Siku nyengine asirudie[emoji23]hilo kofi lazima macho ya kutoke na pumzi ikate Kama dk5 hivi na nyota nyota ziishe ndo uanze kulia[emoji1787]loh
Kubali kukosolewa unapokoseaMengne yakupite ewe ndugu uliyemkamilifu.
😂😂😂Mimi lazima nikague simu ya demu wangu siwezi kuishi kifalafala muda wote nipo kwenye ukaguzi wa CAG nikikuta madudu natumbua tu eti utatumbua wangapi!?hata milioni kwa tatizo lipo wapi?
Kabla ya kumpa futa kwanza asije kuona half akakuacha ukabaki mwenyewe😄[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe basi sasa hivi nitakuwa nampa tu ashike ila akikutana na balah basi atajua mwenyewe huko ili kuoandoa ugomvi.. ila nakumbuka nilishajibigawa jibu hilo "simu umeni nunulia wewe"[emoji24][emoji24]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabla ya kumpa futa kwanza asije kuona half akakuacha ukabaki mwenyewe[emoji1]
Sijaolewa,vipi kuna kaka ako anataka mke,swali lako la kikuda braza.
MtumishiMleta mada ni wa kike
Mleta mada ni mtumishi wa wapi?Mtumishi