Kuchunguza simu ya mpenzi wangu mwisho ilikuwa 2017, siwezi na sirudii

Ila kwann mpemzi wako asishike simu yako unaficha nini huko....
Mie simu lazma nishike ka nikikuta madudu kila mtu ashike njia yake kisa cha kukaa kinafiki nini
Ndio maana yangu imejaa password, we shika ila utaishika kama rimoti au calculator tu.
 
Pole kwa kumpoteza mume jamani ila nadhani hutorudia tena huo mchezo. Binafsi siigusi simu ya mume wangu kwa sababu kubwa 3;
1. Nina moyo mdogo kama nukta, naogopa untimely death.
2. Sitaki talaka kabisaaa maana nina watoto na kipato changu hakikidhi kuwalea wanangu, I need my husband katika hili vibaya mno hahaha
3. Kwani akichepuka anaacha mb** huko au anakuja nayo home? As long as anarudi nayo na nina access nayo akuuuu, life is good.
 
Chukua U-Fresh nakuja kulipa[emoji4]
 
wanawake mna viherehere sana........yaani hamuachi kabisa.... hata mkiwa wazee....hiyo tabia mmeumbwa nayo hakika..(na mwanamke utakuwa na wivu kwa bwana wako).....ishi ukiamini ni wako peke yako.......na wanaume ni kosa kukubali hata kama ni live........ukikubali mwanamke atakunyanyasa mpaka kaburini....
 
Malkia wa nguvu ndio WEWE....hakika...
 

Upewe ulinzi jmn
 
Kuna mmoja huku namuona yupo busy kuwinda simu yangu [emoji2][emoji2] namuangalia tu...ila anacho kitafuta atakipata.

Sawa bana mimi namtakia all the best katika ufukunyufu wake
 
Kweli kabsa.
 
Ukimwi upo kwenye simu?yaani malaya ni malaya tu,kelele azimfanyi mtu kuacha tabia yake,aya unakagua simu,unatembea nae mda wote?Anaejielewa anajielewa tu.
Mkisha olewa mkazaa uzuri unaisha na mvuto kwishnei.Lazima atafute wa poozea hisia..tena kama pesa iko..mbona nyie mkiwa mabinti mnabeba waume za watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…