Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

Bila shaka wewe ni mvulana wa Dar
 
Hanji Mangara tupo nae hadi kieleweke nguruwe la kisasa
 
"Jamani nyamazeni, Cha umbea kaja" kwa sauti ya Mwijuma Mumin
 
Hopeless Wewe..... Mwanaume kukimbiwa na Wake mara Mbili ni Sifa? Sasa kama si Aibu mbona anahaha Kuficha hili Jambo na hatimaye Mfukunyuaji Mightier nimelipata kama lilivyo?

Mwambieni aendelee tu Kubwabwaja!!
Anahaa kuficha vipi?! Tangu lini suala la kukimbiwa au kuachana na mwanamke likawa ni la matangazo?! Tangu kuzaliwa kwako umeshawahi kusikia pahala fulani kuna sherehe ya watu kuachana?!

Btw, hizi habari zimetapaa Instagram kitambo sana... sasa ingekuwa anahaa kuficha, hao watu wa Instagram wamezipata vipi?! Na hata akihaa kuficha kwani tatizo lipo wapi?
 
Ya wema ya juzi tu issue ina week tatu hata wa kwanza alikimbia jamaa mlevi mgomvi anatukana hakukaliki ndani wa kwanza alikuwa anapigwa sana wakiwa choka mbaya uswahilini wakahamia mikocheni baada ya simba kumpa michongo na helA kuja bado kipigo kikaendelea dada wa watu akaokoa roho yake ndo akaolewa huyu sasa ambaye naye kakimbia
 
Duh...inasikitisha sana, msichana alikuwa wife material kabisa.

Mwenye mawasiliano yake (mwanamke) anipe koneksheni.

Nitambembeleza awe japo mke wangu wa pili na sitatangaza mahali kuwa nimemwoa.
 
At least katika hao watu maarufu walioshindwa kudumu kwenye ndoa, somehow wameweza kudumu na timu zao
 
Haji Manara ni msanii anayeteketea kwa kasi maana watu washamjuwa kuwa ni mnafiki na hajitambui. Mwanamke gani anataka kuishi na mtu kama Haji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…