Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

Huyu mademu wanamkimbia ni kwa sababu ni mlevi na akilewa huwa ana dharau sana kwa wake zake na anajikojolea hovyo kitandani pamoja na kujinyea.
 
Ila we jamaa ni mbeya sana aisee,

Makolo muli bwanji babaa.
 
Je akioa tena tuendelee kumchangia ?
Hayo mamilioni aliyoyatumia kwenye ndoa yake ni matumizi mabaya ya pesa.
Ni bora angepigwa ndoa ya mkeka tu.
 
Kwani we jamaa una account ngapi dooh!?
 
Dah...kiwango Cha chini mno Cha fikra....duh...
 
Haji Manara ni msanii anayeteketea kwa kasi maana watu washamjuwa kuwa ni mnafiki na hajitambui. Mwanamke gani anataka kuishi na mtu kama Haji?
Kibaya zaidi Mmoja wa Wafadhili wake alipo sasa anamkazia pamoja na Yule Mwandamizi Mstaafu ndani ya Chama chake alichowaibia Magari na Kuyauza Kitapeli.
 
Huyu mademu wanamkimbia ni kwa sababu ni mlevi na akilewa huwa ana dharau sana kwa wake zake na anajikojolea hovyo kitandani pamoja na kujinyea.
Umeshajua kwanini huwa anajinyea? Mtafute aliyempa Trip ya kwenda Dubai ( UAE ) alipoachana na Simba SC na Mtu mwingine ndani ya Klabu yake alipo sasa hao wana Majibu ya Kutosha juu ya huko kupenda Kujinyea Kwake hovyo.

Tunaomjua tokea akiwa Ilala Bungoni jirani na Kwao Mchezaji Ibrahim Ajib na pale Buguruni Malapa Maskani ya akina Samora ( Mchezaji wa zamani wa Boom FC na Simba SC ambaye pia ni Mdogo wake Dua Said ) tunayajua yake mengi na tulikuwa tunamchora tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…