Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

Kachukue nafasi ya Mkewe aliyemuacha.
Si unyooshe tu maelezo mrembo! Unataka ukampikie na kumpakulia baada ya sisi Wananchi kumuajiri na hivyo kumlipa mshahara mnono!

Wale Wahubiri wako wataishia tu kukutoa mapepo! Huku ukishindia matikiti maji.
 
Ilikuwa bora mara mia marehemu Warumi kuliko huu umbea wako
 
Huyo jamaa mbona alishaachwa na mke karibia week ya 3 sasa,kisa kulewa na ugomvi kila siku,mke anadai jamaa ana mdomo mchafu
Kwani hizo tabia Hadi wanaoana hakuwahi kuzijua ! Au Mwanamke nae alitumwa kamaliza kazi yake ameludi kazn kupewa kazi nyingine ! Ilikuwa n mission ya kumleta Ahamie Yanga zoezi limekamilika Basi. Pia wapo wanawake ambao hutaka Ile heshima kwamba Alisha wahi kuolewa na Sasa ataki Tena kuishi na Mwanamme zipo Sabbu nyingi Sana so Ni Mambo binafsi waaachiwe wenyewe
 
Wale ma bodyguard walikuwa wapi wakati anakula kichapo? Naona unatudanganya.
 
Hopeless Wewe..... Mwanaume kukimbiwa na Wake mara Mbili ni Sifa? Sasa kama si Aibu mbona anahaha Kuficha hili Jambo na hatimaye Mfukunyuaji Mightier nimelipata kama lilivyo?

Mwambieni aendelee tu Kubwabwaja!!
Wewe na yeye sawa, mbona unaficha jina ni nani huyo!! Kama wewe ni Me jichunguze vizuri mwanaume apindishi ama kufichafichs habari, ni straight forward..
 
Wewe na yeye sawa, mbona unaficha jina ni nani huyo!! Kama wewe ni Me jichunguze vizuri mwanaume apindishi ama kufichafichs habari, ni straight forward..
Nimekuita? Mimi na Wewe nani ni Mbea?
 
Kibaya zaidi Mmoja wa Wafadhili wake alipo sasa anamkazia pamoja na Yule Mwandamizi Mstaafu ndani ya Chama chake alichowaibia Magari na Kuyauza Kitapeli.
duh hatari sana, yule wa kwanza katoka naye kwenye shida ila maisha yalipokuwa nafuu kipindi yuko simba akaamua kumkimbia jamaa maana inasemekana ni vurugu na matusi na kebehi hadi mwanamke wa watu akachoka
 
Mode wako wapi aisee hivi huu nao ni Uzi WA sports mbona kama ni Uzi WA kipumbavu Sana tena unazungumzia ndoa ya mtu.
Hili jamaa lianzsha thread sjui huwa Lina tatzo gani ngoja ninyamaze maana nayo ni hekima nisije TOA maneno makali kwa huyu ndugu.
Kama kawaida wapambe wake mmeanza kulialia hilo lopolopo limesababishia watu wengi BAN hapa yakifumuka ya mzee tozi sijui itakuwaje
 
Mi namtaja tu; atakuwa MANARA tu huyu!
 
Mzee Tozi alijidai siyo kwa uno hili
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…