Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

Itakua mtoa mada ameinunua simu aliyokua akiitumia marehemu warumi
 
Pole zake Msemaji wa timu, Si achumbie Binti mwingine tu ambaye atakubali kuja kuzaa mbegu nyeupe?. Hapo Uto si kuna totoz nyingi tu zenye mvuto?
 
Sio mke wa pili ni mke wa tatu na umalaya umemponza juzi alikuwa anajipooza na wema sepetu.
Hafu stress za mkewe akawa anaishambulia Simba, huyo manara asipo jirekebisha stress atajiua
 
Hao hawakupendana kuna mmoja alikuwa anamjaribu tu mwenzake aone inakuwaje.
Kitaalamu watu wanaopendana na kuoana kama hakuna tukio la fumanizi basi wanadumu katika ndoa japo mwaka mmoja.
Manara alikuwa malaya wakubadili wanawake ka chupi ulitaka huyo dada amuvumilie mwaka Ili amuletee maradhi, pia huyo manara alikuwa mkorofi na jeuri kisa maarufu
 
Msukule mlevi huyoo a.k.a mzungu toleo la mwishoo
kuna siku nilikutananae kwenye night club moja mitaa ya arusha....jamaa anakula mitungi na kuvuta sigara kama hana akili nzuri.

manara ni mtu wa bata sana.
 
Huyu mademu wanamkimbia ni kwa sababu ni mlevi na akilewa huwa ana dharau sana kwa wake zake na anajikojolea hovyo kitandani pamoja na kujinyea.
Duh makubwa!
who is the next victim wa semaji la Yanga?
 
Dada mzuri ilikuwaje akaolewa na huyo kichaa au vile alikuwa maarufu. Hafu humu JF Kuna mtu alimtabiria manara kuwa akiondoka Simba na mke atamuacha tu lazima
Manara anavyoropoka unadhani ataweza kuishi na mke,press anazofanya zile kelele kibao kutukana waandishi unadhani ndani ya nyumbani kwake wanaishije ,Yule anakoelekea ni kama umaarufu unamponza hasa alivyoondoka Simba inaonekana ameumia ingawa yote anayofanya ni kukomoa
 
Mzee Tozi alijidai siyo kwa uno hiliView attachment 1969129
Si bure....

Wewe jamaa unapenda sana kushabikia wengine wakidhihakiwa na kupewa shutuma zisizo na ushahidi...........halafu ukibanwa katika hoja silaha yako ni kuwaita wengine "mas...ga"...si mara 1 Wala 1000......

Haiwezekani mtu apende kurudia kauli hizo kwa kila anayekinzana naye kihoja halafu wote hao anaokinzana nao wawe kweli ni "mas....ga"....

Jitathmini ndugu....
 
Mambo binafsi ya mtu tuyaache kama yalivyo, tujaribu kuwa na staha kidogo kwenye masuala binafsi ya watu, ata wewe apo aujakamilika inawezekana tukianza kukufukunyua unavyoishi nyumbani kwako na familia yako tunaweza kukuta uozo zaidi ya kukimbiwa na mke, ivyo basi mijadala Kama hii nafikiri inafaa kuwekwa kwenye jukwaa la umbea na udaku uko kwingine
 
Dada mzuri ilikuwaje akaolewa na huyo kichaa au vile alikuwa maarufu. Hafu humu JF Kuna mtu alimtabiria manara kuwa akiondoka Simba na mke atamuacha tu lazima

Kuna watu humu hahah
 
Manara alikuwa malaya wakubadili wanawake ka chupi ulitaka huyo dada amuvumilie mwaka Ili amuletee maradhi, pia huyo manara alikuwa mkorofi na jeuri kisa maarufu

Manara anapendwa na wanawake ee?
 
Mleta mada acha mambo yako, aisee hakuna mwanaume asiyekuwa na msukosuko na mke wake, na hii inatokana na kuwa na hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…