Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂Kwani mwanaume akikimbiwa na mke si anaoa mwingine!!
Kuna aibu gani hapo, wakati vyombo vipo kibao hadi vingine vinabeba mabango ya kutafuta waume...
Dada mzuri ilikuwaje akaolewa na huyo kichaa au vile alikuwa maarufu. Hafu humu JF Kuna mtu alimtabiria manara kuwa akiondoka Simba na mke atamuacha tu lazimaHuyo jamaa mbona alishaachwa na mke karibia week ya 3 sasa,kisa kulewa na ugomvi kila siku,mke anadai jamaa ana mdomo mchafu
Manara alikuwa malaya wakubadili wanawake ka chupi ulitaka huyo dada amuvumilie mwaka Ili amuletee maradhi, pia huyo manara alikuwa mkorofi na jeuri kisa maarufuHao hawakupendana kuna mmoja alikuwa anamjaribu tu mwenzake aone inakuwaje.
Kitaalamu watu wanaopendana na kuoana kama hakuna tukio la fumanizi basi wanadumu katika ndoa japo mwaka mmoja.
kuna siku nilikutananae kwenye night club moja mitaa ya arusha....jamaa anakula mitungi na kuvuta sigara kama hana akili nzuri.Msukule mlevi huyoo a.k.a mzungu toleo la mwishoo
Tangu tujue mke kamkimbia kawa mpole ameacha kumsema Mo na kuichamba Simba mkuu.Amechagua maisha ya media na Instagram wacha achambwe mwanaume gani kutwa kukaa mitandaoni na kuongea umbeya Sasa hivi yamemkuta wacha watu wamuongelee
Duh makubwa!Huyu mademu wanamkimbia ni kwa sababu ni mlevi na akilewa huwa ana dharau sana kwa wake zake na anajikojolea hovyo kitandani pamoja na kujinyea.
[emoji23][emoji23][emoji23]Naona afisa habari wa Namungo amepiga kijembe
View attachment 1969105
Tatizo jogoo hapandi mtungiPole zake Msemaji wa timu, Si achumbie Binti mwingine tu ambaye atakubali kuja kuzaa mbegu nyeupe?. Hapo Uto si kuna totoz nyingi tu zenye mvuto?
Manara anavyoropoka unadhani ataweza kuishi na mke,press anazofanya zile kelele kibao kutukana waandishi unadhani ndani ya nyumbani kwake wanaishije ,Yule anakoelekea ni kama umaarufu unamponza hasa alivyoondoka Simba inaonekana ameumia ingawa yote anayofanya ni kukomoaDada mzuri ilikuwaje akaolewa na huyo kichaa au vile alikuwa maarufu. Hafu humu JF Kuna mtu alimtabiria manara kuwa akiondoka Simba na mke atamuacha tu lazima
Si bure....Mzee Tozi alijidai siyo kwa uno hiliView attachment 1969129
Mambo binafsi ya mtu tuyaache kama yalivyo, tujaribu kuwa na staha kidogo kwenye masuala binafsi ya watu, ata wewe apo aujakamilika inawezekana tukianza kukufukunyua unavyoishi nyumbani kwako na familia yako tunaweza kukuta uozo zaidi ya kukimbiwa na mke, ivyo basi mijadala Kama hii nafikiri inafaa kuwekwa kwenye jukwaa la umbea na udaku uko kwingineKumbe huu Upole wa hizi Wiki Mbili ni za Kuwaza jinsi ulivyooa kwa Mikogo ( japo waliofanikisha Ndoa yako ndiyo hao hao tena Wanakusaidia Kazi ) na sasa Mke Kakukimbia na unahaha Kumrudisha ila mpaka Mightier naandika Uzi huu hujafanikiwa bado.
Na ili uone kuwa Watu tunajua Kufukunyua Taarifa Ngumu na Nyeri za Kijamii ni kwamba kumbe hata ile Siku uliyotudanganya umepata Ajali Usiku Mkeo alikupiga na Kukuumiza kidogo kwakuwa ulirejea Kwako ukiwa Umelewa Chakari kama Kawaida yako na uliogopa kwenda katika Interview yako kwa Majizzo FM kwakuwa Uso ulikuwa Umeshaumuliwa na Kuumuka vizuri tu.
Ulivyokuwa Ukiwatukana Watu na Kuwadhihaki ulijua kuwa Mwenyezi Mungu hatowajibia kwa namna ya Kipekee? Haya sasa kipo wapi? Huyu ni Mke wa Pili anakukimbia hujiulizi na hujishangai tu?
Siri imeshafichuka Kudadadeki na bado!
Dada mzuri ilikuwaje akaolewa na huyo kichaa au vile alikuwa maarufu. Hafu humu JF Kuna mtu alimtabiria manara kuwa akiondoka Simba na mke atamuacha tu lazima
Manara alikuwa malaya wakubadili wanawake ka chupi ulitaka huyo dada amuvumilie mwaka Ili amuletee maradhi, pia huyo manara alikuwa mkorofi na jeuri kisa maarufu