MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #161
Sasa kama unajua Mimi ni Mbea kwanini bado tu unaendelea Kuushobokea,huu Uzi wangu na Kunishobokea nami Mightier pia?TZ HAIENDELEI SABABU YA WATU KAMA WEWE, TUNAHITAJI KUWAPIGA VITA SANA WATU WAMBEA KA NINYI ILI NCHI YETU IWE NA AKILI.
Mbona yupo Ndugu? Hujamuona tu bado?Manara ujanja wake wote ule kashindwa kujiunga Jf.
Maana angekuwepo humu kwa ulopo lopo ule tungeshajua uwepo wake humu.
Umepamba Moto na Kupiga penyewe tu.Huu Uzi[emoji23][emoji23]
Umaarufu umemzidi akili ukichangia hana elimu dunia basi tabu tupu, imagine hata mtu anayefanya Naye kazi inabidi kuwa naye makini sanaManara anavyoropoka unadhani ataweza kuishi na mke,press anazofanya zile kelele kibao kutukana waandishi unadhani ndani ya nyumbani kwake wanaishije ,Yule anakoelekea ni kama umaarufu unamponza hasa alivyoondoka Simba inaonekana ameumia ingawa yote anayofanya ni kukomoa
Inasikitisha sanaMwanamke anaeolewa na haji Mungu amtie nguvu kwakweli maana ni mlemavu wa ngozi,wa akili,wa mdomo
Mara mia angekuwa mlemavu tu wa ngozi
Yule member alikuwa ka mchawi, nafikiria manara stress za Simba alihamishia kwa mkeweKuna watu humu hahah
Pamoja simkubali Manara lakini kwa elimi zetu hizi za kibongo Manara ana elimu nzuri tu, tena good education background, ili nalisema bila chuki maana huwa simpendi kabisa hili jinga, na usisahau amezaliwa Netherlands.Umaarufu umemzidi akili ukichangia hana elimu dunia basi tabu tupu, imagine hata mtu anayefanya Naye kazi inabidi kuwa naye makini sana
Kuzaliwa kokote si tija pia jinsi anavyojiropokea na kutukana watu na jinsi ambavyo alikuwa anatoa Siri alipotoka kwangu kapoteza credibility ni vile bongo tuna ushabiki maandazi na watu hawaelewi hata conflict of interest ni kitu ganiPamoja simkubali Manara lakini kwa elimi zetu hizi za kibongo Manara ana elimu nzuri tu, tena good education background, ili nalisema bila chuki maana huwa simpendi kabisa hili jinga, na usisahau amezaliwa Netherlands.
Wenzanko kina Kiranga waliozaliwa maisha hayo kweli na kukulia maisha hayo kweli, wapo Marekani kitambo na mambo safi, wewe unayefake bado unavizia mabar maid kwenye bar ya Siro Tegeta, shame.Sawa tumeshajua kuwa unakaa hapo ( huko ) Masaki ambako Wewe umepajua Ukubwani ila Mightier nimezaliwa Mtaa huo huo, kusomea St. Peters Kindagarten hapo kisha Oysterbay Primary ambapo Mwalimu Mkuu wangu akiwa ni Marehemu Mwalimu Ng'ambi nikisoma na Watu kama akina Idi Janguo, Aluta Warioba na Dada Brenda Msangi Boss wa CCBRT.
Na Mimi na Kaka zangu ndiyo Waanzilishi wa hizo Beach Mbili za Coco Beach na kule Slipway enzi hizo tukiwa na Wadau wengine akina Marehemu Ngapasa Mapunda na Nicky Ngonyani wa Magic FM.
Watambie Washamba wenzio kuhusu Masaki na siyo Mimi sawa? Na mpaka sasa hata aliyenileta duniani anaishi hapo hapo Masaki tena Nyumba yake ikitizamana na Bahari.
Pimbi mkubwa Wewe.....!!!!
Point yangu ni education background, kwa kibongobongo hayuko vibaya, tena amesoma shule nzuri sana kwa kipindi chake.Kuzaliwa kokote si tija pia jinsi anavyojiropokea na kutukana watu na jinsi ambavyo alikuwa anatoa Siri alipotoka kwangu kapoteza credibility ni vile bongo tuna ushabiki maandazi na watu hawaelewi hata conflict of interest ni kitu gani
Basi hyo shule zimemfanya awe na arrogance behavior wallahPoint yangu ni education background, kwa kibongobongo hayuko vibaya, tena amesoma shule nzuri sana kwa kipindi chake.
Jamaa ana shombo sana...?Huyo jamaa mbona alishaachwa na mke karibia week ya 3 sasa,kisa kulewa na ugomvi kila siku,mke anadai jamaa ana mdomo mchafu
Acha Kudanganya Watu na kwa Kukusaidia Binafsi namjua huyo ( huyu ) Mpuuzi kuliko ujuavyo.Point yangu ni education background, kwa kibongobongo hayuko vibaya, tena amesoma shule nzuri sana kwa kipindi chake.
Yule ni mpumbavu tu, utoto wa mjini ukariakoo umemzidi mpaka amekuwa mjinga.Basi hyo shule zimemfanya awe na arrogance behavior wallah
Kuwa karibu na Matajiri ambao kila mwaka wanakutengea Bajeti ya kwenda Kuzibuliwa kwa Kukutumia Kwao Kwako Wewe hiyo ni Sifa na ndiyo Ujanja?Yule ni mpumbavu tu, utoto wa mjini ukariakoo umemzidi mpaka amekuwa mjinga.
Ila pamoja na upumbavu wake wote nampa saluti kwenye connection tu yupo vizuri, kuwa karibu na matajiri hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu asiyependa hilo.
Kuna watu wanatafuta namna tu ya kumuona Bakhressa wanashindwa lakini mwamba anasafiri na Billionaire SSB Dubai. [emoji1][emoji1]
Keyboard warrior, wewe unamjuwa Haji yeye hakujui, mwenzako anawajuwa kina GSM, SSB and likes, haupo kwenye level za Haji na humpati kwa lolote regardless ujinga alionao.Acha Kudanganya Watu na kwa Kukusaidia Binafsi namjua huyo ( huyu ) Mpuuzi kuliko ujuavyo.
Kuishi Kitapeli Kitapeli, Elimu ya Kuungaunga huku huko Ulaya kwa Baba yake ( alikokuwa akicheza ) akienda mara moja moja na Kulelewa na Mabibi Ilala Bungoni na Buguruni Malapa ndiko Kuelimika Kwake hasa?
Umeshajua ni kwanini alifukuzwa Kazi Redio ya Chama ( CCM ) alikoanzia? Mpuuzi mkubwa Wewe tena kaa Kimya huna ukijuacho kuhusu huyo Foolish Mwenzako ambaye pamoja na kujifanya Mjanja ( Mtoto wa Mjini ) Mademu zake zote anakuwadiwa ( anatongozewa ) na Dada zake Wawili kwa kuwalipa Ujira.
Na alivyo Juha kama Juha Wewe pia anawadanganya kuwa Kasomea Propaganda nchini China. Hebu mwambieni aweke hadharani CV ( Resume ) yake tuthibitishe.
Hata Uandishi wa Habari wenyewe nao Kausomea kwa Kuunga Unga tu na anachokijua ni Kujipendekeza kwa Matajiri wa Kiarabu na Kihindi ( ambao tunajua wanachomfanya ) kisha kuwa Pimp ( Kuwadi ) Wao na Yeye kuishi tu Kiujanja ujanja na maneno mengi yenye Porojo tupu.
Born : AmsterdamAcha Kudanganya Watu na kwa Kukusaidia Binafsi namjua huyo ( huyu ) Mpuuzi kuliko ujuavyo.
Kuishi Kitapeli Kitapeli, Elimu ya Kuungaunga huku huko Ulaya kwa Baba yake ( alikokuwa akicheza ) akienda mara moja moja na Kulelewa na Mabibi Ilala Bungoni na Buguruni Malapa ndiko Kuelimika Kwake hasa?
Umeshajua ni kwanini alifukuzwa Kazi Redio ya Chama ( CCM ) alikoanzia? Mpuuzi mkubwa Wewe tena kaa Kimya huna ukijuacho kuhusu huyo Foolish Mwenzako ambaye pamoja na kujifanya Mjanja ( Mtoto wa Mjini ) Mademu zake zote anakuwadiwa ( anatongozewa ) na Dada zake Wawili kwa kuwalipa Ujira.
Na alivyo Juha kama Juha Wewe pia anawadanganya kuwa Kasomea Propaganda nchini China. Hebu mwambieni aweke hadharani CV ( Resume ) yake tuthibitishe.
Hata Uandishi wa Habari wenyewe nao Kausomea kwa Kuunga Unga tu na anachokijua ni Kujipendekeza kwa Matajiri wa Kiarabu na Kihindi ( ambao tunajua wanachomfanya ) kisha kuwa Pimp ( Kuwadi ) Wao na Yeye kuishi tu Kiujanja ujanja na maneno mengi yenye Porojo tupu.
Yaani Mwanaume mgomvi tena ana mdomo mchafu una maanisha Mwanaume wa hivi anaweza vumiliwa angekuwa Mwanamke wewe ungeweza kudumu naeHao hawakupendana kuna mmoja alikuwa anamjaribu tu mwenzake aone inakuwaje.
Kitaalamu watu wanaopendana na kuoana kama hakuna tukio la fumanizi basi wanadumu katika ndoa japo mwaka mmoja.