Kudadeki Simba wametuwahi, mvua inanyesha mida hii

Kudadeki Simba wametuwahi, mvua inanyesha mida hii

Mikia noma tayari wametutime, mvua sijui hata imetokea wapi.

Wazee wetu wameshindwa kabisa kuleta jua.

Lakini hamna namna lazima mikia wafungwe hata kama ikinyesha ya mawe.
Hayo mambo yalishaisha kitambo.Waliroga South Africa bado wakapigwa na faini juu
 
Back
Top Bottom