baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Sikuwahi kujua kwamba wauaji, Mafisadi, Watekaji, Wezi wa rasilmali za nchi wana nguvu kiasi hiki? Kwanza ilianza mtu akikosoa serikali anatekwa mtu akikemea wizi, Ufisadi na Mauaji anatekwa nikajua kwamba ni masuala ambayo yanaweza kuisha kwama serikali inaweza kukemea aya mambo ya kaisha lakini wapi.
Kudai haki na Uwajibikaji na Ufisadi, rushwa, utekaji haki ndo kimepelekea October 29 kumwaga damu za watoto wadogo wanaopinga utekaji, Ufisadi, wizi, rushwa, uwajibikaji na Kiujumla Haki
Sasa baada ya kutatua tatizo lakini cha ajabu watu wanakuja na propaganda za dini utafikiri yale maadamano yale yalikua ya dini ni aibu karne hii ya watu wanaojitambu kuja na propaganda ya kitoto vile Kwamba wezi, mafisadi, watekaji, wauaji, wana nguvu sana nchi hii mpaka kusababisha mauji? Kwamba wana nguvu kiasi gani Mpaka kusababisha wananchi walio wengi wasipate HAKI ya kuchagua viongozi wanaowataka?
Kwamba CCM ndo hawataki Tume huru kwamba wao ndo hawataki katiba Mpya CCM pamoja na mambo waliyopitia kipindi cha Magu na Samia? Hapana nachojua kuna kikundi cha watu CCM kinatumia chama na serikali kunyima haki wengi kwasababu ya manufaa yao binafsi.
Kwamba CCM wao wanafurahia utekaji, Mauaji, na Ufisadi kwamba wanafurahia kupotea kwa watu kama Polepole? kwamba wanafurahia mauji na utekaji hapana.
Hiki kikundi kinachotumia mwamvuli wa ccm na serikali kuumiza watu ndo adui yetu mkubwa. Hiki kikundi ambacho inapambana wengi wasipate Haki ni kundi hatari sana