Kudeka ni usumbufu kwenu wanaume?

Mwanamke kudeka deka inaanashiria kautapeli fulani hivi kwa mbaaali Wanawake wanaodeka deka kwa asilimia kubwa hawana mapenzi ya kweli zaidi ya kukujaza kichwa na kukupunusa pesa
Hapana bhna ahahhaha
 
Hapana bhna ahahhaha
Sure I'm telling you! Mara mia mtu udeke kiafrika ukiwa na mwonekano wa kiafrika, kuliko wale wa Beeiiib Nataka iyo! Nchum hap'ah! MmmmmmmmmhMmmhmw' aaah! Jomoni, halafu vidoleni makucha hayo, kwenye macho minyusi hiyo, halafu akizungumza anakutazama sana usoni huku amekuwekea kiwiko kwenye bega, kichwani 80k imelala halafu kaunywele kamoja kameziba jicho moja. Ihiiiiiii Naleshaga Mayo!
 
HAHAHAH nimecheka sana jamani
 
Hiyo ni redflag ya kuonesha ukomavu. Kama anadeka sana huyo mtoto mentally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…