Kudeka ni usumbufu kwenu wanaume?

Kudeka ni usumbufu kwenu wanaume?

Kudeka NI wizi Kama wizi mwingine ukiona mwanamke anakudekerea Sana ujue anakuseti ujae ukijaa tu utaambulia manyoa
 
Kudeka kunapaswa kuendane na muonekano na sauti pia. Sio sauti kama Halima Mdee halafu ajibebishe.

Unakuta jitu kama fuko la mahindi, sura kama bambo halafu anakuletea madeko.

Anaedekewa nae anatakiwa awe anadekeka pia
 
Back
Top Bottom