Kudeka ni usumbufu kwenu wanaume?

Kudeka ni usumbufu kwenu wanaume?

kuna udekaji wa kijinga sana unakata stimu kabisa ghafla unahisi kumchoka mtu, hutaki tena kumuona maana unajua ataanza mambo yake ya kitoto.

Mwanamke deka kitandani tu huko kwengine kuwa ngangari tu 😂
 
Back
Top Bottom