Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 9,758 Reaction score 18,431 Oct 27, 2024 #61 kuna udekaji wa kijinga sana unakata stimu kabisa ghafla unahisi kumchoka mtu, hutaki tena kumuona maana unajua ataanza mambo yake ya kitoto. Mwanamke deka kitandani tu huko kwengine kuwa ngangari tu π
kuna udekaji wa kijinga sana unakata stimu kabisa ghafla unahisi kumchoka mtu, hutaki tena kumuona maana unajua ataanza mambo yake ya kitoto. Mwanamke deka kitandani tu huko kwengine kuwa ngangari tu π
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 16,388 Reaction score 51,970 Feb 11, 2025 #62 Tareek said: Unataka kumuibia Nini ndugu yetu ? Hata Umbwa hujibaraguza akitaka kitu. Click to expand... Hahahπππ
Tareek said: Unataka kumuibia Nini ndugu yetu ? Hata Umbwa hujibaraguza akitaka kitu. Click to expand... Hahahπππ