Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni aibu kubwa sana
Unaongea pumba, watu wanakudharau hawakujibu alafu unarudi tena kucheua mashudu..pole zakoNi aibu kubwa sana
Kimbunga kipi kama mwanaume mngemuachia member mbona kikwete alimuacha lowasa akabana anavyojua kwanini yeye amshindwe member make mkijua tabia yake yakujiona mungu MTU kuwatishia tishia watu aliowateua ndio itamkost hao hao watu ambao wameshika nafasi watamla kichwa maana wanafanya kazi pasipo kuju hatma ya kesho yaoSubiri kimbunga kinakuja
'…Urais sio asali ya kila mtu kuramba au uji wa kila mtu kuja kuonja…' ~Dr Salmeen Amour Rais wa mwisho wa Znz kamili 1990~2000
Karibu sana mkuuUnaongea pumba, watu wanakudharau hawakujibu alafu unarudi tena kucheua mashudu..pole zako
Mungu mbariki Magufuli.karibu sana mkuu
Kumbuka kwamba Mungu hataniwi .Mungu mbariki Magufuli.
Kwani nani anatania?Kumbuka kwamba Mungu hataniwi .
Nadhani wewe ndiye usiyeelewa , ikiwa ni 200 tu kama sheria ya ccm inavyotaka , unadhani wamefikaje mil 1 ?TATIZO LINAONEKANA JAMAA WEWE HUJAELEWA MAANA YA UDHAMINI,HEBU KWANZA TUANZIE HAPO,HIVI UNAPOSIKI NENO WADHAMINI MIA MBILI KILA MKOA UNAELEWA NINI ?
Kwanini unaandika kwa herufi kubwa? Hujui ni sawa na upayukaji?TATIZO LINAONEKANA JAMAA WEWE HUJAELEWA MAANA YA UDHAMINI,HEBU KWANZA TUANZIE HAPO,HIVI UNAPOSIKI NENO WADHAMINI MIA MBILI KILA MKOA UNAELEWA NINI ?
Na wewe kwanini umeweka alama ya ulizo katikati ya sentensi,hujui ni sawa na ukurupukaji ?Kwanini unaandika kwa herufi kubwa? Hujui ni sawa na upayukaji?
No etiquette?
Ww wakala wa shetani utaomba poo tu magufuli ni malaika ameshushwa kutoka mbinguni ukimdhihaki unapigwa mapigo makali na utalaaniwA tunamhitaji kwa miaka 20+Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana .
DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil 2 unusu , sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa ccm ni mil 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa .
Mwisho wa ccm bila shaka yoyote umefika rasmi .
Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana .
DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil 2 unusu , sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa ccm ni mil 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa .
Mwisho wa ccm bila shaka yoyote umefika rasmi .
We vipi aise.nadhani wewe ndiye usielewa , ikiwa ni 200 tu kama sheria ya ccm inavyotaka , unadhani wamefikaje mil 1 ?
Chadema ina wanachama mil11 na laki 7Kwahiyo wewe wanachama million moja Ni Wachache au hata hesabu ulifeli. Hujui Kama hiyo Ni kubwa kuliko idadi ya wanachama wote wenye kadi wa vyama vya Upinzani nchini.
Back to school Miss