Uchaguzi 2020 Kudhaminiwa na watu mil. 1 tu kwenye mikoa 10, kimsingi ni kwamba Magufuli na CCM yake wamekataliwa kabla ya wakati

Uchaguzi 2020 Kudhaminiwa na watu mil. 1 tu kwenye mikoa 10, kimsingi ni kwamba Magufuli na CCM yake wamekataliwa kabla ya wakati

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.

DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil. 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa CCM ni milioni 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa.

Mwisho wa CCM bila shaka yoyote umefika rasmi.

Pia soma > Uchaguzi 2020 - Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM
 
Subiri kimbunga kinakuja

'…Urais sio asali ya kila mtu kuramba au uji wa kila mtu kuja kuonja…' ~Dr Salmeen Amour Rais wa mwisho wa Znz kamili 1990~2000
Kimbunga kipi kama mwanaume mngemuachia member mbona kikwete alimuacha lowasa akabana anavyojua kwanini yeye amshindwe member make mkijua tabia yake yakujiona mungu MTU kuwatishia tishia watu aliowateua ndio itamkost hao hao watu ambao wameshika nafasi watamla kichwa maana wanafanya kazi pasipo kuju hatma ya kesho yao
 
Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana .

DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil 2 unusu , sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa ccm ni mil 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa .

Mwisho wa ccm bila shaka yoyote umefika rasmi .
Ww wakala wa shetani utaomba poo tu magufuli ni malaika ameshushwa kutoka mbinguni ukimdhihaki unapigwa mapigo makali na utalaaniwA tunamhitaji kwa miaka 20+
 
Ujenge viwanda 8,477 na ucreate ajira 6,039,299 just in 5 years halafu uishie kupata udhamini wa Watanzania milioni 1 tu kati ya million 60 less than 2% ya Watanzania inaonyesha wazi jinsi ULIVYOFULIA.

Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana .

DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil 2 unusu , sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa ccm ni mil 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa .

Mwisho wa ccm bila shaka yoyote umefika rasmi .
 
Kwahiyo wewe wanachama million moja Ni Wachache au hata hesabu ulifeli. Hujui Kama hiyo Ni kubwa kuliko idadi ya wanachama wote wenye kadi wa vyama vya Upinzani nchini.

Back to school Miss
 
Back
Top Bottom