Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Unapoteza energy yko burenadhani wewe ndiye usiyeelewa , ikiwa ni 200 tu kama sheria ya ccm inavyotaka , unadhani wamefikaje mil 1 ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapoteza energy yko burenadhani wewe ndiye usiyeelewa , ikiwa ni 200 tu kama sheria ya ccm inavyotaka , unadhani wamefikaje mil 1 ?
Unaongea ulijualo? Mwaka 2010 kikwete alikuwa mgombea pekeeKimbunga kipi kama mwanaume mngemuachia member mbona kikwete alimuacha lowasa akabana anavyojua kwanini yeye amshindwe member make mkijua tabia yake yakujiona mungu MTU kuwatishia tishia watu aliowateua ndio itamkost hao hao watu ambao wameshika nafasi watamla kichwa maana wanafanya kazi pasipo kuju hatma ya kesho yao
Utaongozwa na mhutu mpaka unye punga wewe.Wadhamini walitakiwa 250 tu, kwani hawajatimia au umeshagonga faru John? Halafu toka hapo nje kwenu Lori la konyagi limepata ajali, mshtue na DJ MboweView attachment 1493881
Wapinzani mnateseka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Magufuli piga kazi, ukimaliza hii 5 tunakuongeza 10 ndipo tunaruhusu ustaafuUtaongozwa na mhutu mpaka unye punga wewe.
Hizi darasani ulikuwa unashika namba ipi kuwa muelewa miye naongelea nguvu na power aliyokuwa nayo JK katika chama kipindi Lowasa anasumbua JK alikuwa na uwezo wakufanya chochote kumtuliza tu Lowasa ila alimuacha mpaka wakafika kwenye upigaji kura ndani ya chama ndio akaonyesha JK naniUnaongea ulijualo? Mwaka 2010 kikwete alikuwa mgombea pekee
Aiseeee!Ww wakala wa shetani utaomba poo tu magufuli ni malaika ameshushwa kutoka mbinguni ukimdhihaki unapigwa mapigo makali na utalaaniwA tunamhitaji kwa miaka 20+
Kwanza hamna mtu anaitwa member kwenye siasa za Tanzania ila pia ukishangaa ya Jiwe na Membe usiyataje ya Kikwete na Shibuda unatafuta watu kuanza kuhoji uwezo wako wa kufikiriKimbunga kipi kama mwanaume mngemuachia member mbona kikwete alimuacha lowasa akabana anavyojua kwanini yeye amshindwe member make mkijua tabia yake yakujiona mungu MTU kuwatishia tishia watu aliowateua ndio itamkost hao hao watu ambao wameshika nafasi watamla kichwa maana wanafanya kazi pasipo kuju hatma ya kesho yao
Labda wanachama wanywa Konyagi na wavuta bangi.Chadema ina wanachama mil11 na laki 7
Ndio msemaji wa Chadema JFNajiulizaga hiv mtoa mada ni mtu wa hali gan sipatag jibu
Atakuwa kaelewa kweli?Wadhamini ni wanachama wa CCM sio watanzania wenye kadi za mpiga kura wala umri wa kupiga kura!
Nyie watu wa kaskazini mmesahau hata Jakaya mlivyokuwa mnafanyia fitina za ukanda na uchaga wenu? Wasukuma hawana ukabila ila wametapaka Tanzania nzima sababu ya kuwa ni kabila lenye idadi ya watu wengi.Ukitaka kuwajua wasukuma hapa jf wewe mponde JPM na fikra zake potofu.
Watakuja kama corona🤣
Ukaona haitoshi, ukaamua uongezee 🤣🤣🤣Ni aibu kubwa sana
TATIZO LINAONEKANA JAMAA WEWE HUJAELEWA MAANA YA UDHAMINI,HEBU KWANZA TUANZIE HAPO,HIVI UNAPOSIKI NENO WADHAMINI MIA MBILI KILA MKOA UNAELEWA NINI ?
Nilikuwa sifahamu Kama na wewe huwa Ni bwabwajaji namna hii, hivi Kama chadema pekee inawachama 11M Si uchaguzi wa 2015 wangeshinda asubuhi tu Tena kwa umoja wa ukawa kabisa?Chadema ina wanachama mil11 na laki 7
ni aibu kubwa sana kwa mtu aliyejipigia debe bila upinzani kwa miaka 5 mizima huku bado akisaidiwa na mapolisi.Mbona unahangaika mzee shida nini?