Uchaguzi 2020 Kudhaminiwa na watu mil. 1 tu kwenye mikoa 10, kimsingi ni kwamba Magufuli na CCM yake wamekataliwa kabla ya wakati

Uchaguzi 2020 Kudhaminiwa na watu mil. 1 tu kwenye mikoa 10, kimsingi ni kwamba Magufuli na CCM yake wamekataliwa kabla ya wakati

Kimbunga kipi kama mwanaume mngemuachia member mbona kikwete alimuacha lowasa akabana anavyojua kwanini yeye amshindwe member make mkijua tabia yake yakujiona mungu MTU kuwatishia tishia watu aliowateua ndio itamkost hao hao watu ambao wameshika nafasi watamla kichwa maana wanafanya kazi pasipo kuju hatma ya kesho yao
Unaongea ulijualo? Mwaka 2010 kikwete alikuwa mgombea pekee
 
Unaongea ulijualo? Mwaka 2010 kikwete alikuwa mgombea pekee
Hizi darasani ulikuwa unashika namba ipi kuwa muelewa miye naongelea nguvu na power aliyokuwa nayo JK katika chama kipindi Lowasa anasumbua JK alikuwa na uwezo wakufanya chochote kumtuliza tu Lowasa ila alimuacha mpaka wakafika kwenye upigaji kura ndani ya chama ndio akaonyesha JK nani

wewe unalitea habari za kwani kikwete alikuwa mgombea vipi ebu elewa nachosema

Ebu nikuulize anachofanya magu kwa membe kisa nini nguvu na power aliyonayo ndani ya chama au kisa ni mgombea ukipata jibu ndio utaelewa nazungumzia nini

Kwanini kina makamba Jr kina nape waneufyata kisa nini magu mgombea au nguvu aliyonayo na maamuzi yake yasiyoeleweka
 
Yaani nahitaji wadhamini 250 nimepata milioni halafu useme nimefeli? Chadema mna tatizo gani kichwani?
 
Kimbunga kipi kama mwanaume mngemuachia member mbona kikwete alimuacha lowasa akabana anavyojua kwanini yeye amshindwe member make mkijua tabia yake yakujiona mungu MTU kuwatishia tishia watu aliowateua ndio itamkost hao hao watu ambao wameshika nafasi watamla kichwa maana wanafanya kazi pasipo kuju hatma ya kesho yao
Kwanza hamna mtu anaitwa member kwenye siasa za Tanzania ila pia ukishangaa ya Jiwe na Membe usiyataje ya Kikwete na Shibuda unatafuta watu kuanza kuhoji uwezo wako wa kufikiri
 
Ukitaka kuwajua wasukuma hapa jf wewe mponde JPM na fikra zake potofu.

Watakuja kama corona🤣
Nyie watu wa kaskazini mmesahau hata Jakaya mlivyokuwa mnafanyia fitina za ukanda na uchaga wenu? Wasukuma hawana ukabila ila wametapaka Tanzania nzima sababu ya kuwa ni kabila lenye idadi ya watu wengi.
 
Kweli nimepunguza kufuata habari za siasa yaani hapa sielewi kabisa nini kinabishaniwa. Kwani mara ya kwanza pia baada ya kuchukua fomu Magufuli si alitakiwa awe na wadhamini pia? Nafikiri idadi ilikua hii hii au?
 
Chadema ina wanachama mil11 na laki 7
Nilikuwa sifahamu Kama na wewe huwa Ni bwabwajaji namna hii, hivi Kama chadema pekee inawachama 11M Si uchaguzi wa 2015 wangeshinda asubuhi tu Tena kwa umoja wa ukawa kabisa?
Lowassa asingeweza kuishia kura 6M.

CCM yenyewe inayotambulika kuwa na wanachama wengi, wenye kadi za Chama hawafiki 11M sembuse hivi vikundi vidogovidogo vya upinzani?
 
Back
Top Bottom