Uchaguzi 2020 Kudhaminiwa na watu mil. 1 tu kwenye mikoa 10, kimsingi ni kwamba Magufuli na CCM yake wamekataliwa kabla ya wakati

Subiri kimbunga kinakuja


'…Urais sio asali ya kila mtu kuramba na kuondoka au uji wa kila mtu kuja kuonja…' ~Dr Salmeen Amour Rais wa mwisho wa Znz kamili 1990~2000
.......Mukulu ya Bango FUNGUKA
 
MUNGU mbariki magufuli

Wapinzani wote washindwe na kulegea
 
Tupe data za kura za JK 2 vs Lowasa 2010 kama Lowasa aligombea
 
Hivyo CCM haina demokrasia? Ni kama enzi za Sadam Hussein!!! Mgombea URAIS wa JMT ni mtu mmoja tu!!!! Hivyo ni kweli haya yanatokea dunia ya leo!!!
 
Tupe data za kura za JK 2 vs Lowasa 2010 kama Lowasa aligombea
kama mgani was siasa za inchi hii tulia ujui jk alikuwa Mwenyekiti was chama kipindi lowasa anataka urais tena awe mgombea was ccm JK aliacha figisu zifanyike hakufukuza mpaka dakika ya mwisho
 
Bro kumbuka wazamini ni sie wanaccm majeruhi.
 
Wadhamini ni wanachama wa CCM sio watanzania wenye kadi za mpiga kura wala umri wa kupiga kura!
 
Ngoja tuone Tundu Lissu atadhaminiwa na wangapi.
 
Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana .
Muhimu ni kutimiza idadi,na Rais alikua anaifanya kazi mwenyewe kimya kimya kasoro zanzibar tu Dr Shein alisimamia
Tembezeni za mgombea wenu apate wadhamini milioni kumi,tukutane kwenye sanduku
 
Wadhamini walitakiwa 250 tu, kwani hawajatimia au umeshagonga faru John? Halafu toka hapo nje kwenu Lori la konyagi limepata ajali, mshtue na DJ MboweView attachment 1493881
Hizi picha zenu kama MOD hazichukulii hatua kwa wanaozibandika hapa basi sasa mapigo yatakuja kwa kuleta picha 'jiwe limeinamisha kidoti' hapa jukwaani na patachafuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…