Ni aibu kubwa sana kwa mtu kama wewe kuongea upuuzi kama huu! Kwanza ulitakiwa useme anatakiwa kudhaminiwa na watu wangapi? Na yeye amepata wangapi, ndio ulete hizo hoja zako za kipuuzi.Ni aibu kubwa sana
Nyie watu wa kaskazini mmesahau hata Jakaya mlivyokuwa mnafanyia fitina za ukanda na uchaga wenu? Wasukuma hawana ukabila ila wametapaka Tanzania nzima sababu ya kuwa ni kabila lenye idadi ya watu wengi.
Njoo mwanza na Shinyanga uone watu walivyo na pesa. Yaani ardhi yote imejaa dhahabu na almasi alafu tuwe choka mbaya?Tangu enzi ya Nyerere wasukuma ni CCM tu na ndio maana hamueleweki kimaendeleo kwa kuwa mko chini ya CCM, ni mtaji wa CCM, ni mafala wa CCM iliyowafanya muwe wafu kifikra mpaka leo mpo na CCM iliyowabomoa mkabomoka kisawasawa
Mtapona soon
Inawezekana hujajua maana ya udhamini .Na nadhani hii ni elimu ambayo wana chadema wanatakiwa wapewe kwa taratibu mpaka waelewe kwani wajinga kwao ni wengi mno.Hivi ulitaka wana CCM wote watoke wakamdhamini mgombea ilihali utaratibu unafahamika ? Siku ya kupiga kura ndiyo inayosubiriwa na wana CCM wote kwenda kumpigia mgombea wao aliyepitishwa kwa utaratibu uliokubalika.Ngoja tuone Tundu Lissu atadhaminiwa na wangapi.
Njoo mwanza na Shinyanga uone watu walivyo na pesa. Yaani ardhi yote imejaa dhahabu na almasi alafu tuwe choka mbaya?
Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.
DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa CCM ni milioni 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa.
Mwisho wa CCM bila shaka yoyote umefika rasmi.
Pia soma > Uchaguzi 2020 - Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM
Unafahamu sifa ya kuwa mdhamini ndani ya CCM? Au unadhani ni kila mswahili anadhamini?Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.
DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa CCM ni milioni 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa.
Mwisho wa CCM bila shaka yoyote umefika rasmi.
Pia soma > Uchaguzi 2020 - Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM
Majibu tosha kabisa umempa mpotoshaji.Uhenda ukawa sahihi ila umesahau kuwa hao mil 5 wa dar si wote wna CCM wapo wenye vyana na wasio na vyama,hapa wanaodhamini ni wanachama hai
Na udhamini ni kuanzia watu 250 tu,kwa hiyo hakukuwa na haja kuja na wadhamini sawa na idadi ya wananchi wa Tanzania eti kuleta hoja ya kufanya watu waamini anakubalika☺☺
Mkuu kukubalika au kukataliwa ni october ,huu uliofanyika ni mchakato wa ndani ya chama tuuu,unafeli wapi kamanda mtiifu? Subiri October 2020,afu uje hapa
Unahubiri habari za kusikia tu. Njoo uone kwa macho yako. Kwani nyie huko Dar wote mnakaa Masaki? Wengine si mmejirundika vingunguti na Tandika. Bora hata huku kwetu maisha mazuri kabisa.Mlishabomoa matembe yote? Unaamini kuwa hiyo dhahabu ni yenu pole sana maana mpango wa CCM ulikuwa hivi iwanyime elimu ndipo iwatawale vizuri mpango huo umefaulu, hamna elimu huku mnaimba mapambio eti mna dhahabu na almas changu wa malunde mzima kwenye hiyo kichwa yako?
Chenge kawaroga hadi mnashobokea zawadi zake za chumvi ya mawe mnashangilia mzee wa vijisenti yeye anaishi kwenye ghorofa Dar nyie mnalala na mifugo huko shimiyu
Damn!! 🤣
Lowassa alizikataa kura zingine lakini leo hakuna anayemkumbuka hata mmoja, hawa ni watafuta vyeoKama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.
DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa CCM ni milioni 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa.
Mwisho wa CCM bila shaka yoyote umefika rasmi.
Pia soma > Uchaguzi 2020 - Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM
Hizo kura zenyewe ni uongo ametumia nguvu kubwa snUjenge viwanda 8,477 na ucreate ajira 6,039,299 just in 5 years halafu uishie kupata udhamini wa Watanzania milioni 1 tu kati ya million 60 less than 2% ya Watanzania inaonyesha wazi jinsi ULIVYOFULIA.
Lowassa alipata zaidi ya kura mil 10Nilikuwa sifahamu Kama na wewe huwa Ni bwabwajaji namna hii, hivi Kama chadema pekee inawachama 11M Si uchaguzi wa 2015 wangeshinda asubuhi tu Tena kwa umoja wa ukawa kabisa?
Lowassa asingeweza kuishia kura 6M.
CCM yenyewe inayotambulika kuwa na wanachama wengi, wenye kadi za Chama hawafiki 11M sembuse hivi vikundi vidogovidogo vya upinzani?
Huijui CCM, aliyepambana na Lowassa alikuwa Mkapa baada ya JK kumuachia uwenyekiti. Nakueleza kitu ambacho sikusimuliwa. Nani ana command kubwa hata kesho katika CCM hata kesho kati ya JPM na JK? Huwezi kumlinganisha JPM na Kikwete. Hapa Tanzania JPM analinganishwa na Nyerere tuHizi darasani ulikuwa unashika namba ipi kuwa muelewa miye naongelea nguvu na power aliyokuwa nayo JK katika chama kipindi Lowasa anasumbua JK alikuwa na uwezo wakufanya chochote kumtuliza tu Lowasa ila alimuacha mpaka wakafika kwenye upigaji kura ndani ya chama ndio akaonyesha JK nani
wewe unalitea habari za kwani kikwete alikuwa mgombea vipi ebu elewa nachosema
Ebu nikuulize anachofanya magu kwa membe kisa nini nguvu na power aliyonayo ndani ya chama au kisa ni mgombea ukipata jibu ndio utaelewa nazungumzia nini
Kwanini kina makamba Jr kina nape waneufyata kisa nini magu mgombea au nguvu aliyonayo na maamuzi yake yasiyoeleweka
Acha ujinga ww wasukuma ni matajiri na ndio maana si wachoyo ukifika usukumani utakutana na ukarimu wa hali ya juu utakula, utakunywa maziwa, mtu anayekunywa maziwa jug moja kwa siku mafuta ya kutosha ya samli ana ng'ombe 5000+ ana watoto 60+ ana mashamba hektas 300+ unamuitaje maskini ww kuwa na mindset za kudanganywaTangu enzi ya Nyerere wasukuma ni CCM tu na ndio maana hamueleweki kimaendeleo kwa kuwa mko chini ya CCM, ni mtaji wa CCM, ni mafala wa CCM iliyowafanya muwe wafu kifikra mpaka leo mpo na CCM iliyowabomoa mkabomoka kisawasawa
Mtapona soon
Bila bao la mkono itakuwa shida sana kwa ccm kama kawaida ya uchaguzi mkuu.Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.
DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa CCM ni milioni 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa.
Mwisho wa CCM bila shaka yoyote umefika rasmi.
Pia soma > Uchaguzi 2020 - Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM
We dogo hayo ni maswali mawili jibu sio unapayuka kàma shimo la hajaNa wewe kwanini umeweka alama ya ulizo katikati ya sentensi,hujui ni sawa na ukurupukaji ?